BODI YA CHAMA, KAMATI YA USIMAMIZI NA WAWAKILISHI Sashin Shaidar

BODI YA CHAMA, KAMATI YA USIMAMIZI NA WAWAKILISHI. Mkutano mkuu utachagua wajumbe wa Bodi, Kamati ya Usimamizi na wawakilishi wa wanachama kutoka miongoni mwa Wanachama walioomba nafasi hizo.