IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NA VIJANA Sashin Shaidar

IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NA VIJANA. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuelimisha jamii na wanawake kuhusu sera ya jinsia.Siku 2 za kazi.2Kutoa mikopo kwa akina mama na vijana.Ndani ya siku 14.3Kutoa ushauri kuhusu ndoa, familia, na watoto kunapotokea migogoro.Siku 1 ya kazi.4Kuhakikisha mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe inazingatia jinsia.Siku 1 ya kazi.5Kuandaa mpango wa Idara.Siku 14 za kazi.6Kupokea mipango kutoka kila kata ya Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 1 ya kazi kwa kila kata.7Kuandaa taarifa ya mwezi ya Idara.Siku 2 za kazi.8Kuandaa takwimu za shughuli za maendeleo.Siku 1 ya kazi.9Kuratibu shughuli za asasi zisizo za kiserikali.Siku zote za kazi.10Kutoa misaada ya hela na chakula kwa waathirika wa Virusi vya Ukimwi.Siku 7 za kazi.11Kutoa ushauri nasaha kwa muathirika wa Virusi vya Ukimwi.Siku 1 ya kazi.12Kutoa mafunzo ya kuhusu ukimwi kwa jamii na watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 3 za kazi.13Kutoa mafunzo kwa vijana juu ya stadi za maisha.Siku 14 za kazi.14Kuratibu shughuli za mwenge.Siku 30 za kazi.15Kusimamia miradi ya vijana.Siku 1 ya kazi.16Kusimamia vijana ili wapate mikopo na kurejesha.Siku 7 za kazi.17Kusimamia uanzishwaji SACCOS za vijana kwa kuwaunganisha na kuwaeleza umuhimu wa SACCOS.Siku 7 za kazi.18Kutambua maeneo ambayo yanaweza kutokea maafa.Siku 14 za kazi.19Kutoa elimu kwa watu wanaoishi maeneo hatarishi ili wachukue tahadhari.Siku 1 ya kazi.20Kuratibu maafa yanapotokea.Siku 1 ya kazi.21Kupitia TASAF kusaidia jamii kuboresha miundo mbinu.Siku 180 za kazi.22Kupitia TASAF kusaidia mitaji katika makundi maalumu.Siku 180 za kazi.