KIINGILIO Sashin Shaidar

KIINGILIO. Mwanachama lazima alipe kiingilio cha shilingi laki moja (100,000/=) anapokubaliwa uanachama. Kiingilio hakitarejeshwa kwa mwanachama akiacha uanachama aukusimamishwa uanachama na wala hakizai faida. Kiwango cha kiingilio kitapangwa kila mara na Mkutano Mkuu.