KITENGO CHA MAABARA Sashin Shaidar

KITENGO CHA MAABARA. NAHUDUMAMATARAJIO1Uchunguzi wa damu ya mgonjwa.Dakika 15 za kazi.2Uchunguzi wa malaria.Dakika 153Kuchunguza choo na mkojo.Dakika 20 za kazi.4Kuchunguza kama damu ina Virusi vya Ukimwi.Dakika 20 za kazi.5Kuchunguza kama viungo vya ndani ya mwanadamu kama vinafanya kazi.Dakika 60 za kazi.6Kuchunguza kansa ya damu.Masaa 12 ya kazi.7Kuchunguza kipindupindu.Masaa 24 ya kazi.8Kuchunguza mkojo kama una bacteria wanaosababisha maradhi.Masaa 24 ya kazi.9Kuchunguza damu kana mgonjwa sugu kama kifua kikuu, kansa nk.Masaa 2 ya kazi.10Kupima kiwango cha sukari mwilini.Dakika 10 za kazi.