MADHUMUNI YA CHAMA Sashin Shaidar

MADHUMUNI YA CHAMA. Madhumuni makuu ya MALENGO SACCOS LTD ni kuinua, kustawisha na kuboresha hali ya maisha ya wanachama ili waweze kukidhi mahitaji mbalimbali ya kijamii na kiuchumi kwa kufuata Masharti ya Chama, misingi na Sheria ya Vyama vya Ushirika. Ili kufikia matarajio ya wanachama, Chama kitafanya yafuatayo:-