MWAJIRI Sashin Shaidar

MWAJIRI g) Kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Jiji nakala moja itawasilishwa kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na nakala nyingine kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Mwajiri ndiye mwenye dhamana ya kuhakikisha kwamba utaratibu huu wa kupima utendaji kazi kwa uwazi unatekelezwa.