OFISI YA DMO Sashin Shaidar

OFISI YA DMO. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuidhinisha maombi ya likizo.Siku 1 ya kazi.2Kuidhinisha maombi mbalimbali ya watumishi.Siku 1 ya kazi.3Kupendekeza hatua za nidhamu zinazotakiwa kuchukuliwa kwa mtumishi.Siku 1 ya kazi.4Kupendekeza upandishwaji wa vyeo kwa watumishi wa Idara ya Afya.Siku 3 za kazi.5Kupitisha stahili ya mshahara ya mfanyakazi ya Idara ya Afya.Siku 1 ya kazi.6Kuitisha mkutano wa robo mwaka ya kitengo.Siku 1 ya kazi na mara 1 kwa miezi 3.7Kuandika taarifa ya mwezi ya kitengo.Siku 1 ya kazi.8Kufanya ziara ya usimamizi katika zahanati.Siku 1 ya kazi kila mwezi mara 3.9Kuandaa mpango wa kazi wa kitengo.Siku 7 za kazi.10Kupanga matumizi ya magari ya Idara ya Afya kwa ajili ya usimamizi wa shughuli za afya na usambazaji wa madawa.Siku 7 za kazi.11Kupendekeza manunuzi ya dawa na vifaa mbalimbali.Dakika 10.12Kupendekeza matengenezo ya vifaa na majengo ya vituo vya afya.Dakika 10.13Kuidhinisha utoaji wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya vituo vya afya.Siku 1 ya kazi.