KITENGO CHA MALIASILI Sashin Shaidar

KITENGO CHA MALIASILI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuotesha miti mbalimbali.Miezi 5 ya kazi.2Kuhamasisha upandaji miti kwa kufanya mikutano na jamii.Siku 1 ya kazi kwa kata.3Kuelimisha jamii kuhusu sheria za misitu.Siku 7 za kazi.4Kufanya maonyesho ya nanenane.Siku 10 za maonyesho.5Kuhamasisha wananchi wafuge nyuki ili wainue vipato vyao.Siku 7 za kazi.6Kuhamasisha wakulima washiriki maonyesho ya nanenane.Siku 1 ya kazi.7Kufundisha jamii kuchimba mabwawa ya samaki.Siku 30 za kazi.8Kuelimisha jamii kuhusu sera na sheria zinazohusu wanyamapori.Siku 14 za kazi.9Kuelimisha jamii jinsi ya kudhibiti wanyama wakali na waharibifu wa mazao kwenye kata ambazo wanyama hao wanaonekana.Siku 14 za kazi.10Kukusanya ushuru wa kusafirisha mchanga na kokoto.Kila siku ya kazi.