IDARA YA ARDHI, MALIASILI NA MIPANGO MIJI Sashin Shaidar

IDARA YA ARDHI, MALIASILI NA MIPANGO MIJI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuandaa michoro ya mipango miji maeneo mapya.Siku 90 za kazi.2Kuandaa michoro ya mipango miji maeneo ya ujenzi holela.Siku 120 za kazi.3Kuandaa maraekebisho ya michoro ya mipango miji.Siku 60 za kazi.4Kuandaa michoro ya uendelezaji wa maeneo mapyaSiku 120 za kazi.5Kutoa ushauri kwa wananchi juu ya uendelezaji bora wa ardhi.Siku 1 ya kazi.6Kukagua ramani kwa ajili ya ujenzi.Siku 1 ya kazi ramani inapowasilishwa.7Kupitisha maombi ya leseni za biashara.Siku 1 kazi maombi yanapowasilishwa8Kushughulikia mabadiliko ya matumizi ya ardhi.Siku 90 za kazi.9Kutoa masharti ya uendelezaji ardhi.Siku 1 ya kazi.