KITENGO CHA UTHAMINI Sashin Shaidar

KITENGO CHA UTHAMINI. NAHUDUMAMATARAJIO1Uthamini wa huduma za mali zinazohamishika na zisizohamishika.Siku 8 za kazi kama kazi ndogo na siku 30 za kazi kama kazi kubwa.2Kutoa ushauri kwa ajili ya uhamisho wa mali ili serikali ipate maduhuli.Siku 8 za kazi kama kazi ndogo na siku 30 za kazi kama kazi kubwa.3Kutoa ushauri kuhusu fidia ya mali au eneo.Siku 15 za kazi kama eneo ni dogo.4Kuweka rehani mali kama vile majumba na ardhi.Siku 30 za kazi.5Kutoa ushauri kwa mahakama katika kugawa mali.Siku 8 za kazi.6Kutoa ushauri kuhusu thamani ya mali wakati wa kufunga mahesabu.Siku 30 za kazi.7`Kutoa ushauri kuhusu jinsi ya kuandika miradi.Siku 30 za kazi.