KITENGO CHA UUGUZI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuandaa taarifa ya utekelezaji.Siku 1 ya kazi.2Kuandaa timu ya watumishi watakaohusika na matukio ya dharura.Siku 2 za kazi.3Kusimamia shughuli za utoaji wa huduma za kiuguzi wakati wa dharura.Siku zote za kazi.4Kumshauri muuguzi kuhusu maadili ya kazi ya uuguzi.Dakika 60 za kazi.5Kuelimisha wauguzi juu ya maadili ya uuguzi kwa njia ya kikao.Daki 60 za kazi.6Kutoa mafunzo juu ya maadili ya uuguzi.Siku 5 za kazi.7Kuwafanyia mafunzo wakati wa kazi wauguzi.Masaa 3 ya kazi kwa kila kituo cha afya.8Kuandaa tange ya wauguzi.Siku 30 za kazi.9Kumpa dawa mgonjwa aliyelazwa.Dakika 5 za kazi.10Kumfanyia mgonjwa usafi wa mwili ambaye hawezi.Dakika 30 za kazi.