SEHEMU YA MAPATO. NAHUDUMA ZINAZOHUSIKAMUDA1Kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya halmashauri na kufanya ufuatiliaji.• Siku 2 kila wiki.2Kuitisha na kukagua vitabu vya wakusanya Mapato kila baada ya miezi mitatu (3) au wakati wowote itakapo lazimu.• Dakika 15 kwa kila mkusanya mapato. Mwenye vitabu visivyozidi/Kupungua vitabu 5.3Kupokea fedha kutoka kwa watendaji/ wakusanya mapato.• Dakika 5 kwa kila mkusanya mapato. Kwa mtu aliye na vitabu visivyozidi 3.4Kuandaa Muhtasari wa Mapato kwa kila mfuko. Mwishoni mwa mwezi na kutoa taarifa ya Mapato.• Muda siku mbili (2).baada ya mwezi kuisha5Kukatia stakabadhi fedha kutoka hazina na sehemu nyinginezo.• Dakika 10 kwa “Bank Statement” zisizozidi 10.6Kunukuu, rejista za madeni, na wazabuni mbalimbali wanaokusanya mapato.• Dakika 5 kwa rejista mbili (2).7Kupeleka fedha benki zilizopokelewa kila siku. Kuanzia saa 8:00 mchana.• Dakika 10 mpaka 30 kuna tegemea foleni iliyopo benki.8Kunukuu Mapato katika vitabu vya fedha “(Cash book)” kila siku kuanzia saa 9:00 Alasiri.• Dakika 10 na kuendelea kunategemea Miamala iliyopo.9Kunukuu “Miscellaneous deposits register” kwa mchanganuo. Kila siku.• Muda dakika 10 za jioni kuanzia saa 10:00 jioni.10Kuandika Stakabadhi kwa hundi zote za 1% kwa kila mfuko.• Siku 1 katika wiki.11Kutoa vitabu vya kukusanyia mapato kwa wakusanya Mapato.• Dakika 3 kwa kila kitabu pamoja na kukisajili .12Kupokea vitabu vilivyokwisha tumika mara baada ya kutumika na kuhakikiwa.• Dakika 3 kwa kila kitabu.