MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MASWA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA XXXX
MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MASWA
Telegrams “XXXX Tel No: 000-0000000/2750375
S.L.P 185, Maswa
Fax: 000-00000000, Baruapepe: xxxxxxxxx@xxxx.xx.xx
XXXXXXX MDOGO WA AJIRA ZA MAFUNDI KATI YA
MAMLAKA YA XXXX XXXX NA USAFI WA MAZINGIRA MASWA
S.L.P 185, XXXXX, SIMIYU NA
FUNDI MJENZI XXXXXX XXXXX XXXXXXXX WA S.L.P 2968, XXXXXX XXX
KUCHIMBA MITARO KUJENGA VITUO VYA KUCHOTEA XXXX, KUJENGA CHEMBA ZA XXXX, KULAZA MABOMBA NA KUFUKIA KWA AJIRI YA KUSAMBAZA MTANDAO WA XXXX MAMLAKA YA XXXX XXXX NA USAFI WA MAZINGIRA MASWA
MKATABA NA. MAUWASA/2020/21/W/12
NOVEMBA 2021
MKATABA WA FUNDI MJENZI
ya aina yoyote pamoja na kuongeza au kupunguza kazi ndani ya asilimia kumi na tano (15%) kwa kibali cha xxxxx xxxx kwa mwajiri mwenyewe
,taratibu zote mabadiliko na si vinginevyo.
II. Mwajiriwa(fundi) atalazimika kuweka bei ya kazi ndogo amabazo zimeongezeka na ambazo viwango vyake(rates) hazipo katika makadirio ya kazi ya awali(BOQ) lakini kwa kazi ambazo zinapungua au kuongezeka na zipo ndani ya makadirio ya awali ya mkataba,bei halisi itapatikana kwa kutumia viwango vilivyo katika makadirio hayo ya kazi(BOQ) na si vinginevyo hata hivyo mabadiriko yoyote hayatakubaliwa bila mapatano ya kimaandishi kati ya pande zote mbili.
6. MALIPO YA UTEKELEZAJI WA KAZI
6.1 Mwajiriwa atalipwa jumla ya kiasi cha Tshs 81,405,000.00 Kwa ajili ya utekelezaji wa mradi xxx;
6.2 Malipo ya Mwajiriwa yatakuwa ni kwa fedha za kitanzania tu (Tanzanian Shillings);
6.3 Malipo hayo yatalipwa aidha kwa hundi ambayo italipwa benki;
6.4 Malipo ya Mwajiriwa yatalipwa kwa kuzingatia ubora na kiasi cha kazi zilizofanyika na kukamilika kwa mujibu wa BOQ iliyojazwa, yakiambatana na taarifa ya utekelezaji wa kazi (measurement of works) iliyosainiwa pande zote mbili.
6.5 Malipo ya Mwajiriwa yatalipwa mara baada ya kukamilisha kazi ya ujenzi kama ilivyoainishwa katika kifungu 1 kifungu kidogo (a)kwa utaratibu ufuatao;
i. Malipo ya awali yatalipwa asilimiaa 10%
ii. Malipo awamu ya kwanza yatalipwa asilimiaa 20% baada ya ukamilifu wa kazi usiopungua asilimia 20% .
iii. Awamu ya pili (2) yatalipwa asilimia 30% baada ya ukamilifu wa kazi usiopungua asilimia 65% .
iv. Awamu ya xxxx (3) Asilimia 30% baada ya ukamilifu wa kazi usiopungua asilimia 95%.
v. Awamu ya nne (4) Asilimia 10% baada ya ukamilifu wa kazi kwa asilimia
100%.
6.6 Kwamba malipo yanaweza kufanyika mara moja kama fundi mjenzi xxx uwezo wa kutosha kutekeleza kazi hiyo pasipo kuomba malipo yoyote katika mchaganuo xxxxx hapo juu anaweza xxxxxxx xxxx yote kwa ukamilifu na ubora xxxxx kuomba malipo yote kwa mara moja baada ya kazi kukamilika,kukaguliwa na kukubalika na mwajiri.
6.7 Kabla ya malipo ya mwisho kufanyika,Mwajiriwa anapaswa kuwasilisha taarifa zote zinazohitajika na kufanya marejesho ya vifaa vyote vya kazi na fedha za mradi kama zitakuwepo.
7. HAKI NA WAJIBU WA MWAJIRI
Xxxxxxx xxxxxx atawakilishwa na Msimamizi wa Kazi, atakuwa na wajibu na majukumu yafuatayo:
7.1 Kutoa baadhi ya vifaa kwa ajili ya ujenzi wa kazi hii;
7.2 Kusimamia na kuthibitisha ubora wa kazi inayofanywa na fundi;
7.3 Kuwasiliana na uongozi wa eneo husika namna ya kuwashirikisha wananchi/Jumuiya ya Watumia Xxxx xxxxxx shughuli za ujenzi wa Mradi;
7.4 Endapo kazi itakayofanywa na Mwajiriwa haitafikia viwango vya ubora unaotakiwa, Xxxxxxx atachukuwa hatua stahiki dhidi ya Mwajiriwa huyo; na Msimamizi wa Mradi ata mtaarifu fundi wa kazi hii kwamba ameshindwa kutimiza masharti ya makubaliano.
7.5 Kuhakikisha kuwa endapo Mwajiriwa atafanya kazi isiyokidhi viwango au isiyoridhisha, Mwajiriwa huyo anarekebisha au kurudiwa upya kazi hiyo kwa gharama zake mwenyewe.
8. HAKI NA WAJIBU WA MWAJIRIWA
Xxxxxxxxx xxxxxx ni fundi atakuwa na wajibu na majukumu yafuatayo:
8.1 Kuhakikisha kuwa anatekeleza ujenzi wa xxxx xxxx kama zilivyoelekezwa kwenye sehemu ya 1 (Madhumuni ya Mkataba) kulingana xx xxxxxx na vipimo viliyotolewa na Mwajiri;
8.2 Kuhakikisha kuwa anawajibika kufanya kila jambo ambalo kwa ujumla wake litaleta mafanikio kwenye mradi atakaoujenga;
8.3 Atatekeleza majukumu xxxx kwa uaminifu, uadilifu, umakini na weledi mkubwa na endapo atatekeleza kinyume na matakwa haya, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi xxxx;
8.4 Atawajibika kwa Msimamizi wa Mradi (Project Manager) kwa utendaji wake wa kila siku na atatekeleza maelekezo anayopewa na kiongozi huyo;
8.5 Atawajibika kuhudhuria mikutano ya tathmini ya mradi pamoja na watendaji wengine wa timu xxxx xxxx itakapopangwa;
8.6 Atawajibika kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa mradi kabla ya malipo na kila zitakapohitajika;
8.7 Kuhakikisha malipo ya vibarua na mafundi walioajiriwa kwa mikataba midogo yanafanyika kwa wakati; na
8.8 Kufanya usafi eneo la ujenzi wa mradi na kuondoa mabaki yote ya vifaa vya ujenzi na kuviweka katika eneo litakaloelekezwa na Msimamizi wa Mradi.
9. UTOAJI WA MIKATABA MIDOGO
Mwajiriwa anaweza kuingia Mikataba midogo kiasi kadhaa ya utekelezaji wa kazi na vibarua (casual labourers) watakaokuwa chini ya usimamizi wake.
10. UCHELEWESHAJI WA UTEKELEZAJI WA MRADI
Endapo kazi haitakamilika katika muda uliopangwa, Mwajiriwa atalipa faini ya asilimia(0.01%) ya malipo ya kazi yote kwa kila siku ya ucheleweshwaji isipokuwa kukiwa na sababu ya msingi ya ucheleweshwaji wa kazi ulioidhinishwa kwa maandishi na Msimamizi wa Mradi.
11. DHAMANA YA UHARIBIFU
11.1 Mwajiriwa atawajibika kulipa gharama za uharibifu au madhara yoyote yatakayosababishwa na wafanyakazi wake au vifaa vyake wakati wa utekelezaji wa mradi; na
11.2 Gharama hizo au madhara hayo yatabainishwa na Msimamizi wa Mradi kwa maandishi.
12. XXXXXX ITAKAYOTUMIKA
Mkataba xxx utaongozwa na kusimamiwa na Sheria za Tanzania.
13. USULUHISHI WA MGOGORO
Endapo kutatokea mgogoro wa aina yoyote baina ya Mwajiri na Mwajiriwa kuhusu utekelezaji wa mradi xxx:
a) Pande zote mbili zitatatua mgogoro huo kwa njia ya amani ya mazungumzo ambapo makubaliano ya pande hizi mbili yatapelekea Mkataba xxx kufanyiwa marekebisho; na
b) Endapo mgogoro huo utashindikana kutatatuliwa kwa njia ya amani ya mazungumzo, pande zote mbili zinaweza kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa mujibu wa Xxxxxx za Tanzania.
14. KUSITISHA MKATABA
Mkataba xxx unaweza kusitishwa endapo upande mmoja au pande zote mbili za Mkataba zitashindwa kutekeleza wajibu wake au masharti ya Mkataba xxx.
15. MAREKEBISHO YA MKATABA XXX
Kwamba Mwajiri na Mwajiriwa wanaweza kubadilisha baadhi ya masharti ya Mkataba xxx kwa makubaliano ya pamoja kwa njia ya maandishi.
S/N | MEETING AGENDA | Resolution |
1: Opening Of the Meeting 2: Brief Description Of The Project 3: Negotiation Discussion 4: AOB 5: Closing the meeting | ||
1.0 | Opening Of the Meeting The Chairman opened the meeting at 12.20 hours by welcoming the Members of the negotiation team and the local fundi, and gave them opportunity to introduce themselves. After such a brief self-introduction, he introduced the main agenda of this meeting is to discuss and clarify some issues which were not apparent or could not be finalized at the time of bidding. | |
2.0 | Brief Description Of The Project: The briefing of the project was presented by head of Technical Department , who explain brief the scope of work is to Trench excavation with maximum depth of 1m and 0.45 m width, Lay HDPE pipe with different size by joining by batty fusion test 21,650 meters, backfill and compact well with selected soil , Construction of xxxxxxxx with size 1mx1mx1 by using blocks 45cm x 23cm as per engineering drawing) and Construction of DP'S as per engineering drawing | Recommended |
3.0 | Contract price : After deeply discussion between the Local Fundi and negotiation committee, the Local Fundi agreed to lower the price from Tshs 84,652,500 to Tshs 81,405,000. | Recommended |
4.0 | Inspection and testing materials: Inspection and testing of material shall be conducted by the team appointed by Managing Director. | Recommended |
5.0 | Time flame for completion of work : The time agreed by both parties for completion of the project shall not exceed three months. | Recommended |
6.0 | Payment modality : I was agreed that the payment certificate will as follows;- 1. Advance payment 10 total amount of the work 2. Second phase payment will be 20% after construction work 20% 3. Third phase payment will be 30% after construction work 65% 4. Fourth phase payment will be 30% after construction work 95% 5. Fifth phase payment will be 10% after construction work 100% | Recommended |