Mwaliko Sanifu wa Kotesheni
Mwaliko Sanifu wa Kotesheni
(Zabuni NdogoNdogo)
Kwa ajili ya
Ununuzi wa Huduma Zisizohitaji Ushauri wa
Kitaalamu
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi katika Sekta ya Umma
S.L.P. 49, Dar es Salaam.
Desemba, 2009
Ununuzi wa Huduma Zisizohitaji Ushauri wa Kitaalamu zilizo chini ya miradi inayogharimiwa na fedha za umma Umma unafanywa kulingana na sera na taratibu zilizowekwa chini ya Xxxxxx ya Ununuzi katika Sekta ya Umma Na. 21 ya Mwaka 2004 (PPA, 2004) na Kanuni za Ununuzi katika Sekta ya Umma (Kazi, Bidhaa, Huduma zisizokuwa za Ushauri au Kitaalamu na Uuzaji wa Mali za Umma kwa Zabuni) pamoja na Tamko la Serikali Na. 97 la Mwaka 2005 na Kanuni za Bodi za Zabuni za Mamlaka za Serikali za Mitaa (Uanzishwaji na UZabuniji) - Tangazo la Serikali Na. 177 la Mwaka 2007 ( zote zitaitwa Kanuni za Ununuzi katika Sekta ya Umma)
Mwaliko xxx wa Kotesheni (Zabuni Ndogondogo) (MSK) za Ununuzi wa Huduma Zisizohitaji Ushauri wa Kitaalamu umetayarishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi katika Sekta ya Umma (MUUU) kwa ajili ya kutumiwa na Taasisi Nunuzi kwa Ununuzi wa Huduma Zisizohitaji Ushauri wa Kitaalamu.
Taratibu zilizoainishwa katika nyaraka hizi na ni lazima zitumike xxxxxx xxxxxx ya Umma ambayo gharama zake zote au sehemu ya gharama hulipwa kwa fedha za umma kulingana na masharti ya Xxxxxx ya Ununuzi katika Sekta ya Umma ya Mwaka 2004 na Kanuni zake.
Kwa taarifa xxxxx juu ya Ununuzi chini ya miradi inayogharimiwa na fedha za Umma , tafadhali wasiliana na:
Ofisa Mtendaji Mkuu,
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi Katika sekta ya Umma,
S.L.P. 49, Dar es Salaam
Simu: 2121236/7, 2133466
Faksi: 2121238 Xxxxx xxxx: xxx@xxxx.xx.xx
YALIYOMO
Sehemu
Dibaji ii
Vifupisho iii
Mwaliko wa Kotesheni (Zabuni Ndogondogo) I
Maelezo ya Mahitaji na Orodha ya Bei II
Maelekezo kwa Wazabuni III
Masharti ya Jumla ya Mkataba IV
Masharti Maalumu ya Mkataba V
Maelezo ya Mahitaji, Viwango na Vipimo Kiufundi VI
Michoro VII
Fomu Mbalimbali VIII
Uadilifu IX
Vifupisho
GCC General Conditions of Contract - Masharti ya Jumla ya Mkataba - MJM
ICB International Competitive Bidding -Ushindani Zabuni Kimataifa -UZM
IFQ Invitation for Quotation - Mwaliko wa Kotesheni (Zabuni Ndogondogo) .- MK
NCB National Competitive Bidding - Zabuni Zinazoshindanishwa Kitaifa -ZZK
PE Procuring Entity - Taasisi Nunuzi - TN
PPA 2004 Public Procurement Act No. 21 of 2004 - Xxxxxx ya Ununuzi Katika Sekta ya Umma Na. 21 ya Mwaka 2004 - PPA, 2004
SCC Special Conditions of Contract - Masharti Maalumu ya Mkataba -MMM
SP Service Provider - Mtoa Huduma - XX
XxX Statement of Requirement - Maelezo ya Mahitaji -MM
SIFQ Standard Invitation for Quotation - Mwaliko Sanifu wa Kotesheni - MSK
TIN Tax Identification Number - Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi- NUMK
VAT Value Added Tax _ Kodi ya Ongezeko la Thamani - KOT
SEHEMU I: MWALIKO WA ZABUNI
(Zabuni Ndogondogo)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
T
OFISI YA RAIS - AWALA ZA MIKOA XX XXXXXXXX ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME
Simu: +25528-2690218
x000000000000
Nukushi: +25528-2690218
Baruapepe:xx.xxxxxx@xxxx.xx.xx
Ofisi ya Mkurugenzi wa Mji
S.L.P 45,
j
Unapojibu tafadhari xx x
Xxxxx ya Zabuni: LGA/165/2016-2017/W/NC/O2
Kwa ajili ya:
MARUDIO YA TANGAZO LA UJENZI NA UENDESHAJI WA VIBANDA VIPYA 12 KATIKA STENDI YA MABASI TARIME
MWALIKO WA ZABUNI
Kwa:…………………………………………………
……………………………………………..
…………………………………..
Tarehe 03.04.2017
1. Halmashauri ya
Mji Tarime S.L.P 45 Tarime
inakaribisha
Makampuni, watu binafsi, vikundi vilivyosajiliwa Kisheria kwa ajili
ya kazi ya ujenzi mabasi Tarime
wa vibanda vipya 12 na kuviendesha katika stand ya
2. Unakaribishwa kuleta zabuni yako ya bei kwa ajili ya utekelezaji wa kazi
kama ilivyoelezwa
kwenye Maelezo ya Mahitaji na
Bei kama
ilivyofafanuliwa katika Sehemu ya II.
S/N | Maeleza ya xxxx | Xxxx zitakazofanyika |
Ujenzi na uendeshaji wa vibanda vipya 12 katika stendi ya Mabasi Tarime | -Kusafisha eneo (kufukua Msingi wa majengo ya zamani) -Ujenzi wa Msingi -Kujenga ukuta wa nyumba -Kumwaga zege (Linta) -Kupaua -Kupiga Lipu |
-Kuweka miundombinu ya kupokea umeme (wiring) -Kupaka rangi -Kuweka umeme -Kusafisha eneo -Kuendesha vibanda vipya 12 |
3. Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja na nakala mbili zinazofanana, zilizojazwa kwa usahihi na zilizowekwa kwenye bahasha isiyo na maandishi juu na kuandikwa “zabuni Na. LGA/165/2016-2017/W/NC/02 kwa ajili ya Ujenzi wa vibanda vipya 12 na uendeshaji katika stendi ya mabasi Tarime. Ni lazima kupelekwa kwa Mkurugenzi wa Mji Tarime S.L.P 45 Tarime, Ofisi ya Kitengo cha Manunuzi.
4. Vitabu vya zabuni kwa Lugha ya Kiswahili vitanunuliwa na wazabuni wanaohitaji kwa kuandika barua ya maombi kwa anwani iliyooneshwa kwenye aya ya 3 hapo juu kwa gharama ambayo haitarudishwa ya Shilingi za kitanzania 100,000/ ambazo zitalipwa kwenye Bank ya NMB baada ya kupata ankra xx Xxxxx ya Akaunti kutoka Idara ya Fedha ya Halmashauri ya Mji Tarime S.L.P 45 Tarime.
5. Zabuni zote lazima ziambatanishwe na tamko la kinga ya zabuni (Tender Securing Declaration ) kwa mpangilio ulioelekezwa katika nyaraka za zabuni
6. Siku ya mwisho ya kuwasilisha zabuni ni Xxxx ya Ijumaa Tarehe 21.04.2017 kabla ya Saa 6.00 Mchana. Zabuni zote zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha, mbele ya wawakilishi wa wazabuni walioamua kuhudhuria katika kikao cha ufunguzi wa zabuni katika Halmashauri ya Mji wa Tarime S.L.P 45 Tarime.
7. Zabuni zitakazochelewa, sehemu ya kotesheni, kotesheni za kielektroniki, na kotesheni zisizofunguliwa katika tukio la ufunguzi wa kotesheni, kwa hali yo yote ile hazitakubaliwa kwa tathmini.
………………………………………..
Pedas K. Masungwa Kaimu: Mkurugenzi Mji Tarime
SEHEMU II: MAELEZO YA XXXXXXXX NA ORODHA ZA BEI
1) Maelezo ya huduma itakayotolewa
Na. Mfululizo | Maelezo ya Huduma | Xxxxx | Xxxxx/ Xxxxx | Xxxx (Xx.X) | Xxxxx Xx.X |
I | Ujenzi na uendeshaji wa vibanda 12 stendi ya mabasi Xxxxxx | Xxxxxx | 12 | ||
Jumla ya Kiasi kwa Huduma Bila VAT | |||||
Jumlisha VAT | |||||
Jumla ya Kiasi kwa huduma pamoja na VAT |
2) a) Ujenzi na uendeshaji wa vibanda 12 katika stendi ya mabasi Tarime
b) Ujenzi wa vibanda 12 utafanyika kwa Muda Miezi 3 na kuendesha kwa muda wa Miaka 10 kutoka Siku wa kumiliki
Kumbuka:
Watoa Huduma wanahimizwa kutembelea eneo ambapo huduma zitatolewa.
SEHEMU III: MAELEKEZO KWA WATOA HUDUMA
1. Eneo la huduma litakuwa katika Stendi kuu ya Halmashauri ya Mji wa Tarime na huduma inapaswa kukamilika Ujenzi kwa Miezi 3 uendeshaji kwa Miaka 10 kutoka tarehe ya kupata umiliki baada ya kukubaliwa kwa zabuni Na. LGA/165/2016-2017/W/NC/O2 kwa ajili ya Ujenzi na uendeshaji wa vibanda 12 stendi ya mabasi Tarime
2. Mtoa Huduma (MH) lazima aambatanishe kwenye zabuni xxxx nyaraka zifuatazo:
Kwa ajili ya kampuni za ukandalasi
2.1 Bei ya zabuni iliyojazwa kikamilifu na kutiwa sahihi kulingana na Maelezo ya Mahitaji na Orodha ya Bei;
2.2 Leseni halali ya Biashara; 2.3 VAT halali na cheti cha TIN;
2.4 Cheti cha usajili wa ukandarasi(CRB)
2.5 Ambatanisha Sifa za wataalam zilizosainiwa watakaosimamia mradi xxx ambao ni Xxxxxxxx mmoja na Fundi Mchundo (Sanifu) mmoja.
2.6 Hati ya Nguvu ya Kisheria (Special power of attorney)
2.7 Nyaraka zinazoonesha kiwango cha Mtaji ulionao ambazo zinatambulika kwa Xxxxxx ya Fedha
Kwa kampuni zisizo za kikandarasi
2.1 Kampuni italazimika kulete “profile” ya kampuni hiyo
2.2 Italazimika kuajili watalaam xxxxxx xxxx ya ujenzi na kuambatanisha pamoja na kitabu hiki sifa (evidence) za wataalam hao watakaotumika katika kusimamia ujenzi wa kazi hii ambao ni Mhandisi Mmoja na Fundi Mchundo Mmoja
2.3 Hati ya Nguvu ya Kisheria (Special power of attorney)
2.4 Nyaraka zinazokubalika kwa xxxxxx ya fedha zinazoonesha mtaji wa kampuni hiyo
Kwa vikundi
2.1 Vikundi vitalazimuka kuambatanisha pamoja na kitabu hiki uthibitisho wa usajiri wa kikundi chao pamoja na Mihtasari
2.2 Vitalazimika kuajili watalaam xxxxxx xxxx ya ujenzi na kuambatanisha pamoja na kitabu hiki sifa (evidence) za wataalam hao watakaotumika katika kusimamia ujenzi wa kazi hii ambao ni Mhandisi Mmoja na Fundi Mchundo Mmoja
2.3 Nyaraka zinazokubalika kwa Xxxxxx ya Fedha zinazoonesha mtaji wa kikundi
2.4 Hati ya Nguvu ya Kisheria (Special power of attorney)
Kwa watu binafsi
a. Atatakiwa kuambatanisha barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtaa anakoishi
2.2 Kuambatanisha kitambulisho/Vitambulisho mbalimbali kama vile kitambulisho cha (kazi, kura, bima ya Afya n.k)
2.3 Nyaraka zinazokubalika kwa Xxxxxx ya Xxxxx xxxxxxxxxxxx
mtaji wako
2.4 Atalazimika kuajili watalaam xxxxxx xxxx ya ujenzi na kuambatanisha pamoja na kitabu hiki sifa (evidence) za wataalam hao watakaotumika katika kusimamia ujenzi wa kazi hii ambao ni Mhandisi Mmoja na Fundi Mchundo (Sanifu) Mmoja
3. Taarifa kuhusu Maelezo ya mahitaji, Viwango na Vipimo kiufundi na michoro zimefafanuliwa kwenye Sehemu VI na Sehemu VII kwa mfuatano huo.
4. Bei ya Zabuni:
4.1 Mkataba unakuwa na ukubwa wa huduma kama ilivyofafanuliwa katika Sehemu II.
4.2 Masahihisho Kama yatakuwapo yatafanywa kwa kukata kwa
xxxxxx, kusaini, kuweka herufi za mwanzo za xxxx, kuweka
tarehe na kuandika upya.
4.3 Ushuru wote, kodi na ada anazolipa Mtoa Huduma chini ya
Mkataba zitajumuishwa kwenye jumla ya bei.
4.4 Kiwango kilichotajwa na Mtoa Huduma kiwe kimekamilika na
hakitabadilika katika kipindi chote cha mkataba na hakitaingizwa Kwenye marekebisho kwa sababu yoyote ile.
4.5 Bei zinapaswa kutolewa katika Shilingi za Kitanzania.
5. Mtoa Huduma atakamilisha kujaza fomu ya kuwasilishia kotesheni ambayo imeambatanishwa katika Xxxxxx XXXX. Fomu ya kuwasilishia kotesheni ni lazima ijazwe kikamilifu bila kubadili cho chote katika muundo wake na hakuna fomu mbadala itakayokubaliwa.
6. Malipo yatafanywa katika Shilingi za Kitanzania.
7. Zabuni itabaki kuwa halali kwa kipindi kisichopungua Siku 45 baada ya siku ya mwisho ya uwasilishaji zabuni.
8. Zabuni Mbadala “hazikubaliki”
9.
Kama Kotesheni mbadala zinakubalika Mtoa Huduma anayetaka kufanya Mabadiliko ya kiufundi kwa mahitaji ya nyaraka za kotesheni lazima awasilishe kotesheni inayozingatia mahitaji ya nyaraka za kotesheni, ikiwa ni pamoja na mchoro wa kiufundi kama
ilivyoonyeshwa kwenye maelezo ya mahitaji, viwango na vipimo. Xxxxx ya kuwasilisha kotesheni ya msingi, Mtoa Huduma atatoa taarifa zote muhimu kwa ajili ya Taasisi Nunuzi kukamilisha tathmini mbadala iliyotolewa ikiwa ni pamoja na maelezo ya mahitaji, viwango
na vipimo kiufundi, mchanganuo wa bei na ufafanuzi mwingine unaohusika. Ni mbadala wa kiufundi tu kama itakuwapo, yenye kiwango cha chini xxxxx cha Mtoa Huduma inayofuata mahitaji ya msingi ya kiufundi ndiyo itafikiriwa na Taasisi Nunuzi.
10. Kotesheni itakamilishwa na kutiwa sahihi na mwakilishi aliyepewa
mamlaka na Mtoa Huduma. Kwa suala kama hili fomu inayoonyesha mamlaka ya kisheria wa kumuwakilisha mtoa huduma lazima
iwasilishwe na kotesheni hii.
11. Taasisi Nunuzi itatathmini na kulinganisha zabuni kwa namna
ifuatayo:
11.1 Tathmini ya awali; ili kuamua ni zabuni zipi zenye kutimiza
matakwa ya nyaraka za zabuni. Hii ni kuangalia kama zimetiwa
sahihi vizuri na zimetimiza masharti ya maelezo ya mahitaji,
viwango na vipimo.
11.2 Zanuni zinazoonekana zinatimiza matakwa ya nyaraka za zabuni zitaangaliwa kama kuna makosa ya kimahesabu. Ikitokea kuna hitilafu yoyote ya kimahesabu kati ya xxxx xxx kizio na kiasi kilichotajwa, xxxx xxx kizio ndicho kitazingatiwa kwa ajili ya tathmini ya kotesheni na hatimaye kwenye makubaliano ya mkataba.
11.3 Kulinganisha kotesheni; katika tathmini ya kotesheni, Xxxxxx ya
Tathmini itaainisha kwa xxxx xxxxxx bei ya zabuni
iliyofanyiwa tathmini kwa kurekebisha bei kama ifuatavyo:
11.3.1 Kufanya marekebisho yoyote ya makosa;
11.3.2 Kufanya marekebisho yafaayo kwa uhitilafiano wowote ule unaokubalika, mikengeuko au kusahaulika kuingizwa; na
11.3.3 Kufanya marekebisho yafaayo kuakisi punguzo kwa tunzo au marekebisho mengine ya bei yaliyotolewa.
12 Taasisi Nunuzi itatoa mkataba kwa Mtoa Huduma xxxxxx kotesheniyake imeamuliwa kuwa inafaa xx xxxxxx ametoa kotesheni ya bei iliyotathminiwa na kuwa ya chini kabisa.
13 Taasisi Nunuzi inahodhi haki wakati wote wa mkataba, kuongeza au kupunguza hadi asilimia 15 ya idadi ya huduma ambazo zilibainishwa hapo awali katika ukubwa wa huduma kwa kila idadi bila mabadiliko yoyote ya bei ya kizio kimoja au masharti mengine, na hii itaonyeshwa kwenye fomu ya mkataba
14 Licha ya yaliyotajwa hapo juu, Taasisi Nunuzi inahodhi haki ya kukubali zabuni yoyote na kukataa zabuni zote wakati wowote kabla ya kutoa mkataba.
15 Mtoa Xxxxxx xxxxxx xxxxxx xxxx imekubaliwa atajulishwa na Taasisi Nunuzi kuwa amekubaliwa kupewa mkataba kabla ya kipindi halali cha kotesheni kumalizika. [Fomu ya mkataba pamoja na masharti yote ya malipo yanapaswa kutolewa kwa mtoa huduma pamoja na mwaliko xxx wa zabuni]
16 Watoa huduma wana haki ya kuomba kupitiwa upya maamuzi ya
Ununuzi kulingana na SEHEMU IX ya Kanuni za Ununuzi katika Sekta ya Umma (Bidhaa, Kazi, Huduma zisizohitaji Ushauri wa Kitaalamu na Uuzaji wa Mali za Umma kwa Zabuni), - Tangazo la
Serikali Na. 97 la Mwaka 2005.
SEHEMU IV: MASHARTI YA JUMLA YA MKATABA
Kifungu 1: Nyaraka za Mkataba
Masharti ya Mkataba na fomu ya Malezo ya mahitaji, Viwango na Vipimo ni sehemu muhimu ya nyaraka za Mkataba na zinapaswa kusomwa pamoja na nyaraka nyingine zote zinazounda Mkataba. Kama ikitokea kuna mgogoro, kipaumbele cha nyaraka kitakuwa kama ilivyoainishwa katika Kifungu cha 6 cha Masharti haya ya Mkataba.
Kifungu 2: Tafsiri
Katika Masharti haya ya Mkataba maneno yafuatayo yatakuwa na maana zilizotolewa kwayo kama ilivyo hapa chini:
Mteja Taasisi ya Serikali inayonunua huduma kama zilivyotajwa kwenye mkataba.
Mtoa Huduma Mtu au watu au kampuni ambayo kotesheni yao imekubaliwa na mteja.
Huduma Huduma itakayotolewa kulingana na mkataba.
Kifungu 3: Maelekezo
Maelekezo yanayotolewa na Mteja yatakuwa kwa maandishi. Kwa sababu nyingine yoyote ile maelekezo hayo yakatolewa kwa mdomo, Mtoa Huduma atafuata maelekezo hayo. Katika kipindi cha siku 7 maelekezo yaliyotolewa kwa mdomo yanapaswa kuwa yamethibitishwa kwa maandishi.
Kifungu 4: Lugha
Matangazo yote, maelekezo na mawasiliano au waraka
wowote
wa maandishi unaohusu mkataba utaelezwa bayana katika Masharti Maalumu ya Mkataba.
Kifungu 5: Xxxxxx inayotumika
Mkataba, maana xxxx, fasiri xxxx, xx utekelezaji wake vitaongozwa na Xxxxxx ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kifungu 6: Nyaraka za Mkataba zenye Kipaumbele
Nyaraka kadhaa zinazofanya mkataba zichukuliwe kuwa zinajieleza kikamilifu lakini kama ikitokea hitilafu yoyote ile
nyaraka zenye umuhimu wa kwanza zitakuwa zifuatazo:
i) Fomu ya Makubaliano;
ii) Barua ya Kukubali Kotesheni;
iii) Fomu ya Kuwasilisha Kotesheni;
iv) Masharti Maalumu ya Mkataba;
v) Masharti ya Jumla ya Mkataba;
vi) Xxxxxxx, kama ipo;
vii) Maelezo ya Mahitaji na Orodha ya Bei; na
viii) Mihutasari ya mazungumzo
viii) Nyaraka nyingine zozote zinazounda sehemu ya mkataba xxx (Kumbukumbu za ufafanuzi, memoranda dhidi ya rushwa).
B: MAJUKUMU
Kifungu 7: Utekelezaji wa Mkataba
Mtoa Huduma atatoa nguvu kazi yote, zana, usafiri, maunzi xx xxx xxxxx xxxx kinachohitajika katika utoaji wa huduma. Mtoa huduma atatoa huduma kulingana na inavyotakiwa na nyaraka za mkataba, na maelekezo ya ziada kama yatakavyotolewa mara kwa mara.
Kifungu 8: Kutoa kazi kwa Mtoa Huduma Msaidizi
Mtoa Huduma hatatoa kazi au sehemu ya kazi kwa Mtoa Huduma Msaidizi bila kibali cha maandishi cha kutoka kwa Mteja. Xxxxxx kama hicho kinapotolewa hakimwondolei Mtoa huduma mamlaka au majukumu xxxx chini ya mkataba na Mtoa huduma atakuwa na wajibu kwa kushindwa au kuzembea kwa yeyote kati ya watoa huduma wake wasaidizi.
Clause 9: Usimamizi wa Kazi wa Mtoa Huduma
Mtoa Huduma atatoa huduma kwa uangalifu na kwa kufuata utendaji unaotakiwa na Mteja ili kufikia mahitaji maalumu ya
ubora, wingi na muda uliopangwa. Kama katika wakati wowote ule Mteja anaona uzembe, au kubadilika sana kwa mwelekeo kutoka xxxxxx xxxxx zilizowekwa, hatua zinazofaa zitachukuliwa na Mtoa Huduma ili kurekebisha hali.
Kifungu 10: Ukaguzi
Mteja au mwakilishi wake aliyempa mamlaka xxx haki ya kukagua huduma na Mtoa Huduma atatoa ushirikiano unaofaa wakati Mteja atakapohitaji kufanya hiyo.
Kifungu 11: Huduma Zilizokataliwa
Huduma zisizofuata mahitaji ya mkataba zitakataliwa. Kwa maelekezo ya Mteja, Mtoa huduma kwa gharama zake mwenyewe atarekebisha au kutoa upya huduma itakayokuwa imekataliwa hadi kumridhisha Mteja kikamilifu.
Kifungu 12: Bima
Mtoa Huduma ataweka bima yenye xxxx xxxx na la Mwajiri kwa ajili ya xxxxxx au uharibifu wa zana, mitambo na maunzi, wizi na hali nyingine zinazolingana na hizo kwenye Ofisi ya
Mwajiri, ambayo itakuwa imesababishwa kwa uzembe wa wafanyakazi wa Mtoa huduma. Mtoa huduma pia atatoa bima kwa ufidiaji majeruhi binafsi au kifo cha mfanyakazi wa Mtoa Huduma awapo kazini.
Kifungu 13: Wajibu wa Mtoa Huduma
Mtoa Huduma atamkinga Mwajiri dhidi ya xxxxxx au uharibifu wa upande wa xxxx. Atamkinga kikamilifu Mwajiri wake dhidi ya madeni xx xxxxxx zinazotokana na Xxxxxx ya Ajira na Fidia ya Wafanyakazi.
Kifungu 14: Xxxxx Xxxxxxxxxxxxx
Katika tukio xx xxxxxx yoyote au uharibifu unaotokea katika utendaji wa aina yoyote wa nguvu za asili ambao pande zote za mkataba kwa hali ya kawaida zisingeweza kutabiri mapema, xxxxxx au uharibifu kama huo utagharimiwa na Mwajiri na Mtoa Huduma
Kifungu 15: Ubora wa Huduma na Usanifu wa Kazi
Huduma zote na usanifu wa kazi vitakuwa vya aina na ubora kama ilivyofafanuliwa katika Mkataba na kulingana na maelekezo ya Mteja na vitaingizwa katika vipimo kama Mteja atakavyotaka.
Kifungu 16: Upatikanaji wa Maunzi
Mtoa Huduma atabainisha vyanzo vyote vya maunzi yanayohitajika kabla ya kuanza kutoa huduma. Mwajiri atalazimika kama itahitajika upatikanaji wa vyanzo vya maunzi hayo.. Mtoa Huduma hatatumia maunzi yaliyobainiwa bila kuwa na kibali cha maandishi toka kwa Mwajiri.
Kifungu 17: Kuondoka Eneo la Kutolea Huduma
Baada ya kumaliza kutoa huduma, Mtoa huduma ataondoa xxxx xxxx, maunzi ya ziada na uchafu katika eneo la kutolea huduma na kuacha eneo hilo likiwa safi na katika hali itakayokubaliwa na Mwajiri.
Kifungu 18: Xxxx, Usalama na Xxxxxxx Xxxxxxxxx.
Mtoa huduma katika kipindi chote cha mkataba atazingatia kikamilifu masuala ya kiafya na kiusalama katika xxxxx xxxx ya xxxx na watu wote wanaopaswa kuwa katika xxxx xx xxxx xxxxxx xxxx ya mpango mzuri ili kuepusha hatari yoyote kwa watu hao.
Mtoa Huduma atazingatia mahitaji na kanuni zote za mazingira kama zinavyoelezwa na Serikali ya Tanzania.
Kifungu 19: Kuanza na Kukamilika Utoaji Huduma.
Mtoa Huduma ataanza na kukamilisha huduma katika muda uliyoelezwa kwenye Masharti Maalumu ya Mkataba au katika kipindi cha mkataba cha nyongeza, kama kipindi hicho kimeruhusiwa na Mteja.
Kifungu 20: Ubadilishaji
Mteja anaweza kubadilisha umbo, ubora au kiasi cha huduma na atakuwa na mamlaka ya kumwagiza Mtoa Huduma ipasavyo. Ubadilishaji huo utakuwa kwa Agizo la Mabadiliko ya Mkataba. Mteja ataamua kuhusu kiasi (kama itatokea) ambacho kwa xxxxx xxxx kinapaswa kuongezwa au kupunguzwa kutoka jumla
ya fedha iliyotajwa kwenye Mkataba kwa ajili ya kazi yoyote ya nyongeza iliyofanywa au iliyoachwa kwa agizo hilo. Kiasi cha fedha kitakachoamuliwa kitatokana na xxxx xxx kizio kwenye Kotesheni au kama hakuna xxxx xxx kizio kinachotumika, kiwango kingine kitatumika kama itakavyoamriwa na Mteja na kukubaliwa na Mtoa Huduma.
C: MALIPO
Kifungu 21: Malipo
21.1 Malipo ya Awali
Malipo ya awali ya asilimia iliyotajwa kwenye Masharti Maalumu ya Mkataba ya thamani ya mkataba yanaweza kutolewa baada ya kuwasilisha dhamana inayokubalika katika Masharti Maalumu ya Mkataba. Malipo haya ya awali yatakatwa kwa awamu zinazolingana kwa kila bili itakayowasilishwa na Mtoa Huduma, na lazima zilipwe zote.
21.2 Malipo wakati Kazi inaendelea
Malipo yatafanywa kwa Mtoa Huduma wakati kazi inaendelea kila mwezi baada ya kuwasilisha ankara kama huduma iliyotolewa inalingana na masharti ya mkataba. Kwa kila ankara kiasi cha fedha kilichotajwa kwenye Masharti Maalum ya Mkataba kitashikiliwa lakini hakitazidi asilimia 10 ya bei ya mkataba. Fedha iliyoshikiliwa itatolewa katika kipindi kitakachokuwa kimeonyeshwa kwenye Masharti Maalumu ya Mkataba
Fedha anayotakiwa kulipwa Mtoa Huduma chini ya Ankara yoyote ile italipwa na Mwajiri kwenda kwa Mtoa Huduma katika kipindi kitakachokuwa kimetajwa katika Masharti Maalumu ya Mkataba baada ya Ankara kuwasilishwa na Mtoa huduma.
21.3 Malipo ya Mwisho
Ankara ya mwisho italipwa katika siku 28 za kazi baada ya tarehe ya kuwasilishwa kwa Mteja ilimradi huduma zote, masahihisho na matengenezo, xxxx xxxx yatakuwa yametekelezwa katika kiwango kitakachomridhisha Mteja.
21.4 Ucheleweshwaji wa Malipo
Kama Mteja atashindwa kufanya malipo katika muda uliotajwa, Mteja atamlipa Mtoa Huduma riba katika kiwango kilichotajwa kwenye Masharti Maalumu ya Mkataba.
21.5 Makato ya Malipo
Mteja atakuwa na haki ya kukata fedha kiasi cho chote, fedha ya malipo ya awali au madeni yanayolipika kutoka kwa Mtoa Huduma kwenda kwa Mteja kutokana na fedha yoyote anayoweza kulipwa Mtoa Huduma na Mteja chini ya mkataba xxx ilimradi kifungu hiki hakitaathiri marekebisho yoyote kwa amri ya xxxxxx pengine ambayo mteja anaweza kuwa na haki ya kurudishiwa fedha yoyote kama hiyo.
21.6 Malipo kwa Wafanyakazi
Kama kutatokea kushindwa kulipa mishahara/ujira na fidia nyingine zinazopaswa kulipwa wafanyakazi na /au malipo ya kukodisha zana/magari na vifaa chini ya mkataba xxx, mteja atakuwa na haki ya kushikilia malipo ya Mtoa Huduma. Mteja atatumia fedha alizoshikilia kuwalipa wafanyakazi wa Mtoa Huduma mishahara yao na fidia nyingine na madeni ya kukodisha vifaa. Malipo kama hayo yatachukuliwa kuwa ni malipo yaliyopokelewa na Mtoa Huduma kutoka kwa Mteja chini ya mkataba xxx.
Kifungu 22:Malipo ya Ucheleweshaji Huduma
Kama Mtoa Huduma atashindwa kutoa huduma katika muda uliotajwa kwenye mkataba au katika muda wowote wa nyongeza ulioruhusiwa na Mwajiri, Mtoa Huduma atamlipa Mteja malipo ya ucheleweshaji katika kiwango cha asilimia 0.1 cha thamani ya mkataba kwa siku hadi kiwango cha juu cha asilimia 10 ya bei ya mkataba.
D: XXXXXXXXXXX MIGOGORO NA KUVUNJA MKATABA
Kifungu 23: Kusuluhisha Migogoro
23.1 Kama migogoro ikitokea itasuluhishwa kwa majadiliano ya pande zote. Kama baada ya siku thelathini (30) pande hizo zimeshindwa kumaliza mgogoro au tofauti zao kwa majadiliano ya pamoja, upande wowote ule utawasilisha mgogoro huo kwa maandishi kwa Mwamuzi na kutoa nakala kwa upande mwingine.
23.2 Mwamuzi aliyetajwa katika Masharti Maalumu ya Makataba atatoa maamuzi kwa maandishi katika muda wa siku ishirini na nane (28) baada ya kupokea taarifa ya mgogoro.
23.3 Mwamuzi atalipwa kwa saa kwa kiwango kilichotajwa kwenye Masharti Maalumu ya Mkataba pamoja na kurudishiwa gharama za aina ya matumizi kama yalivyobainishwa katika Masharti Maalumu ya Mkataba na gharama hiyo itagawanywa kati ya Mteja na Mtoa Huduma kwa uamuzi wowote utakaofikiwa na Mwamuzi. Upande wowote unaweza kupeleka uamuzi wa Mwamuzi kwa Msuluhishi kwa maandishi katika kipindi cha siku ishirini na nane (28) baada ya uamuzi ya Mwamuzi. Kama hakuna upande wowote utakaokuwa umepeleka mgogoro kwa Msuluhishi katika muda wa siku ishirini na nane (28) zilizotajwa hapo juu, uamuzi wa Mwamuzi utakuwa ndiyo wa mwisho na itabidi ufuatwe.
23.4 Kama Mwamuzi atajiuzulu au kufariki au kama Mteja na Mtoa Huduma wakikubaliana kuwa Mwamuzi hafanyi xxxx xxxx ipasavyo kulingana na vifungu vya Mkataba, Mwamuzi mpya atateuliwa kwa pamoja kati ya Mteja na Mtoa Huduma. Kama kuna kutokubaliana kati ya Mwajiri na Mtoa Huduma katika muda wa siku 30, Mwamuzi atateuliwa na Mamlaka ya kuteua itakayotajwa katika Masharti Maalumu ya Mkataba kwa maombi ya upande wowote katika muda wa siku kumi na nne
(14) tangu kupokelewa kwa ombi hilo.
23.5 Mgogoro au tofauti yoyote ambapo notisi ya kusudio la kuanza usuluhishi imetolewa kulingana na kifungu hiki itamalizwa kwa usuluhishi. Usuluhishi unaweza kuanza kabla au baada ya kuanza kutoa huduma chini ya mkataba.
23.6 Usuluhishi utaendeshwa kulingana na taratibu za usuluhishi kama zilivyochapishwa na taasisi iliyotajwa na mahali palipoonyeshwa katika Masharti Maalumu ya Mkataba.
23.7 Bila kujali uwepo kwa usuluhishi wa aina yoyote,
(a) Pande zote zitaendelea kutekeleza majukumu xxx xxxxx ya mkataba isipokuwa kama wakikubaliana vinginevyo; na
(b) Mwajiri atamlipa Mtoa Huduma fedha yoyote Mtoa Huduma anayodai.
Kifungu 24: Uvunjaji wa Mkataba
24.1 Kama Mtoa Huduma anashindwa kuanza kutoa huduma katika muda uliopangwa au kuna sababu za kutosha kuamini kuwa hatakamilisha huduma katika muda uliopangwa au kuna ucheleweshaji uliokiuka tarehe ya kukamilisha au anashindwa kufuata moja ya masharti au hafuati maelekezo ya Mteja au anakuwa mufilisi, Mwajiri atakuwa na haki ya kuvunja mkataba na kumwajiri Mtoa Huduma mpya wa kutoa huduma hiyo.
24.2 Kama Mteja atashindwa kumlipa Mtoa Huduma katika muda wa siku 60 baada ya tarehe ya kuwasilisha madai, Mtoa Huduma atakuwa na haki ya kuvunja mkataba.
Kifungu 25: Malipo kama Mkataba Umevunjwa
Kama Mkataba umevunjwa, Mtoa Huduma atalipwa na Mteja fedha au maunzi yatakayokuwa bado hayajalipiwa katika malipo atakayokuwa amelipwa Mtoa Huduma kwa huduma zote zitakazokuwa zimetolewa kabla ya kuvunja mkataba kwa kima na bei kama ilivyotolewa kwenye Mkataba. Ilimradi tu wakati wote itakuwa dhidi ya malipo yoyote yaliyo tayari kutoka kwa Mteja chini ya kifungu hiki, Mwajiri atakuwa na haki ya kulipwa fedha yoyote toka kwa Mtoa Huduma iliyotokana na malipo ya awali, kutokana na mitambo/zana/magari na maunzi, na kiasi cho chote alicholipwa Mtoa Huduma na Mteja kwa ajili ya utoaji wa huduma.
SEHEMU V: MASHARTI MAALUMU YA MKATABA
Taarifa maalumu ifuatayo kwa ajili ya Huduma Zisizo za Ushauri wa Kitaalamu zinazonunuliwa na itakuwa nyongeza, au inaweza kurekebisha vifungu katika Masharti ya Jumla ya Mkataba. Kunapokuwa na mgogoro, vifungu katika Masharti Maalumu ya Mkataba vitakuwa na nguvu xxxxx ya vifungu katika Masharti ya Jumla ya Mkataba.
Masharti Maalumu ya Mkataba Kifungu Na. | Masharti ya Jumla ya Mkataba Kifungu Na. | Marekebisho ya, na Nyongeza kwa vifungu katika Masharti ya Jumla ya Mkataba | ||
1 | 4.0 | Lugha ya Mkataba: Kiswahili | ||
2 | 19.0 | Mkataba Unaanza tarehe:Siku ya kusaini mkataba | ||
3 | 19.0 | Muda wa kukamilisha kazi ya Ujenzi ni Miezi 3(Xxxx) xx xxxx ya kuendesha vibanda ni Miaka 10 (kumi). | ||
4 | 21.1 | Malipo ya awali Hakihusiki. Nyongeza inayokubalika itakuwa xxxxxx xxxx ya dhamana ya Benki makataa (irrevocable) kutoka benki inayoaminika kwa kiasi kinachofanana Haihusiki | ||
5 | 21.2 | Asilimia ya fedha za kushikiliwa: Hakihusiki. Fedha iliyoshikiliwa itatolewa katika Hakihusiki Kiasi anachopaswa kulipwa Mtoa Huduma chini ya Ankara yoyote kitalipwa na Mteja kwa Mtoa Huduma katika Hakihusiki. | ||
6 | 21.4 | Kama Mteja atashindwa kufanya malipo katika Hakihusiki. Mteja atamlipa Mtoa Huduma riba xxxxxx xxxx | ||
7 | 23.2 | Mwamuzi atakuwa kwa kazi za Xxxxxx Xxxxxxx atakuwa (NCC) National Contractors Council na kwa kazi za uendeshaji Mwamuzi atakuwa Wizara ya Fedha | ||
8 | 23.3 | Xxxx xxx xxx ya Mwamuzi kitakuwa kama kilivyoelekeza katika Sheria na kanuni za National |
Contractors Council na Wizara ya Fedha Aina ya gharama zitakazorudishwa zitakuwa kama kilivyoelekeza katika Sheria na kanuni za National Contractors Council na Wizara ya Fedha | ||
9 | 23.4 | Mamlaka ya kuteua Mwamuzi ni Wizara ya Ujenzi na Wizara ya fedha |
10 | 23.6 | Taasisi ya Usuluhishi itakuwa National Contractors Council na Wizara ya Fedha Mahali pa kufanyia Usuluhishi Dar es salaam |
24.0 | Mzabuni atatakiwa kulipa kuilipa Halmashauli ya Mji Tarime kiasi cha Shilingi za Kitanzania 40,000/(Arobaini Elfu) kwa Mwezi | |
24.1 | Muda wa kukamilisha ujenzi wa vibanda hivyo ni ndani ya Miezi 3 kuanzia Siku ya kusaini Mkataba iwapo mzabuni atashindwa kukamilisha ujenzi kwa Muda xxx xxxx sababu za msingi Mradi utachukuliwa na kupewa mzabuni mwingine bila kurejeshewa gharama | |
24.2 | Gharama za ujenzi wa vibanda hazitabadilika hadi mwisho | |
24.3 | Atamiliki kibanda kwa Muda wa Miaka 10(kumi) kutoka Siku ya kuanza biashara baada ya Miaka hiyo atarudisha vibanda kwa Halmashauri | |
24.4 | Marekebisho ya Mkataba yatafanyika xxxx Xxxxx | |
24.5 | Kila hatua katika ujenzi wa vibanda hivyo itasimamiwa na Ofisi ya mhandisi wa ujenzi Halmashauri ya Mji Tarime | |
24.6 | Ataruhusiwa kupangisha vibanda hivyo kwa wengine | |
24.7 | Atamiliki vibanda hivyo kwa Muda wa Miaka 5 (Mitano) tu kutoka Siku ya kumiliki na kurejesha vibanda hivyo kwa Halmashauri | |
24.8 | Kampuni, Mtu binafsi na vikundi vya watu ambao sio wakandarasi watalazimika kutafuta watalam wa kusimamia ujenzi xxx ambao ni Mhandisi 1 na Fundi mchundo 1 na kuambatanisha nyaraka zao muhimu katika kitabu hiki kwa ajili ya uthibitisho mfano vyeti,”CV” | |
24.9 | Makisio ya kitaalam na michoro itakayotumika imeambatanisha katika kitabu hiki |
SEHEMU VI: MAELEZO YA MAHITAJI, VIWANGO NA VIPIMO KIUFUNDI
(IngizaViwango na vipimo kama havipo sawa na vilivyotolewa katika maelezo ya Huduma)
SEHEMU VII: MICHORO
(Xxxxxx XXXXXXX kama ipo)
SEHEMU VIII: FOMU MBALIMBALI
FOMU YA KUWASILISHA ZABUNI
…….. …………. [Tarehe]
Kwa [Xxxxxx Xxxxxx Xxxxxx ya Xxxxxxx Xxxxxx]
Tunaahidi kutoa [Ingiza maelezo ya huduma xx xxxxx ya zabuni kulingana na Masharti ya Mkataba yanayofuatana na zabuni hii kwa bei ya Mkataba ya
……………………………………………………….[Ingiza kiasi xxxxxx xxxxxx, tarakimu na aina ya sarafu]
Pia tunaahidi kukamilisha huduma iliyotajwa katika kipindi cha
…………………………………………………………………[Ingiza kipindi] ambacho kinajumuisha kipindi cha maandalizi.
Zabuni hii pamoja na xxxxx xxxx ya kukubali kwa maandishi vitafanya mkataba unaotufunga sisi pamoja. Tunafahamu kuwa hulazimiki kukubali kiwango cha chini au zabuni yoyote kati ya zabuni unazopokea.
Tunathibitisha kuwa kotesheni hii imetimiza masharti kama yanavyotajwa katika Mwaliko wa zabuni.
Xxxxxx Xxxxxxxxxx: ………………………………………………………………
Xxxx na Xxxx xxx Xxxxx Xxxxxx: …………………………………………......
Xxxx la Mtoa Huduma: …………………………………………………………
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MJI TARIME
Kwa: ……………………………………………………..…
………………………………………………………………..
[Ingiza xxxx na anwani ya Mtoa Huduma]
……………………………….. [Ingiza tarehe]
Hii ni kukutaarifu kuwa kotesheni yako ya tarehe [Ingiza
tarehe] ya kutoa………………………………………… [Ingiza maelezo ya huduma xx xxxxx ya zabuni kama ilivyoonyeshwa kwenye nyaraka za kotesheni] kwa bei yaMkataba ya……………………………………… [Ingiza kiasi kwa maneno, tarakimu na sarafu], kama ilivyosahihishwa na kurekebishwa ipasavyo na maelekezo kwa Mtoa Huduma sasa imekubaliwa.
Unatakiwa xxxxxx xxxxxx Makubaliano ya Mkataba na kuanza kutoa huduma katika…………………………………………. [Ingiza kipindi] kutoka siku mkataba utakapotiwa sahihi.
Xxxxxx Xxxxxxxxxx: ………………………………………………………………………
Xxxx na Xxxx xxx Xxxxx Xxxxxx: ………………………………………….………...…
Xxxx la Mteja: …………………………………………………………………………….
FOMU YA MAKUBALIANO YA MKATABA
Makubaliano haya ya Mkataba yanafanywa xxx [Ingiza tarehe] siku ya [Ingiza mwezi], [Ingiza mwaka] Kati ya [Ingiza xxxx na Anwani ya Mteja] (Hapa ataitwa “Mteja”) kwa upande mmoja na [Ingiza xxxx na Anwani ya Mtoa Huduma ] (Hapa ataitwa “Mtoa Huduma”) kwa upande mwingine.
Kwa kuwa Mteja anakaribisha Kotesheni kwa kutoa huduma yaani: [Ingiza maelezo mafupi ya huduma inayotakiwa kutolewa ] na amekubali Kotesheni ya Mtoa Huduma kwa huduma kwa jumla ya [Ingiza bei ya Mkataba xxxxxx xxxxxx tarakimu na sarafu] Hapa itaitwa (“Bei ya Mkataba”).
XXXX XXXXXXXXXXX XXXX XXXXXXXXXXXXX KAMA IFUATAVYO:
1. Katika makubaliano haya maneno na maelezo yatakuwa na maana sawa kama yalivyopewa katika Masharti ya Mkataba unaolejelewa.
2. Nyaraka zifuatazo zitachukuliwa kwa pamoja na zisomeke na kufasiriwa kuwa ni sehemu ya makubaliano haya, yaani;
i) Fomu ya Makubaliano ya Mkataba;
ii) Barua ya Kukubali zabuni;
iii) Fomu ya Kuwasilisha Zabuni
iv) Masharti Maalumu ya Mkataba;
v) Masharti ya Jumla ya Mkataba;
vi) Uainishaji Viwango na Vipimo Kiufundi, kama upo;
viii) Xxxxxxx, kama ipo
viii) Maelezo ya Mahitaji na Orodha ya Bei;
ix) Nyaraka nyingine zozote zinazounda sehemu ya mkataba (Kumbukumbu za ufafanuzi, memoranda dhidi ya rushwa).
3. Nyaraka zote zilizotajwa hapo juu zitarejelewa hapo baadaye kama ‘Mkataba’ na zitachukuliwa kuwa zinakamilishana na zinajieleza sawa lakini ukitokea utata au uhitilafiano zitakuwa na umuhimu katika mfuatano wake kama zinavyoonyeshwa hapo juu.
4 Katika kuzingatia malipo yanayofanywa na Mteja kwa Mtoa Huduma kama baadaye inavyotajwa, Mtoa Huduma hapa anakubaliana na Mteja kutekeleza na kukamilisha Huduma kwa kufuata makubaliano, kwa xxxx xxxx zile na kulingana na vifungu vya mkataba.
Mteja hapa anakubali kumlipa Mtoa Huduma kwa kuzingatia utekelezaji na ukamilishaji wa Utoaji huduma, jumla ya [Ingiza kiasi xxxxxx xxxxxx, tarakimu na sarafu] baadaye imerejelewa kama “Bei ya Mkataba” kwa nyakati na namna iliyoelezwa katika mkataba.
KATIKA KUSHUHUDIA, pande hizi zimefanya makubaliano ya kutekelezwa kulingana na xxxxxx katika siku na mwaka kama ulivyoandikwa hapo juu.
IMETIWA SAHIHI KWA AJILI YA NA KWA NIABA YA MWAJIRI
Mbele ya
........................................................... ......................................
Xxxxxx Xxxxxx
(Xxxx).............................................. (Xxxx) ....................................
(Kazi).................................... (Kazi)……….............................
KWA NIABA YA MTOA HUDUMA: Mbele ya
................................................ ................................................
Xxxxxx Xxxxxx
(Xxxx)........................................ (Name)......................................
(Kazi)...............................………. (Kazi)......................................
(Anwani).................................. (Anwani)……………………............
AHADI YA MTOA HUDUMA KUHUSU SERA DHIDI YA RUSHWA, KANUNI ZA MAADILI NA PROGRAMU YA UKUBALIFU
Sisi…………………………………………………………… [Ingiza xxxx la Mkandarasi] tunaweka umuhimu xxxxxx xxxxxx ya ushindani unaofanyika kwa misingi ya haki na huru na isiyoruhusu ukiukwaji wa taratibu na kanuni. Tunapenda kuthibitisha kuwa hatutatoa wala kuwezesha moja kwa moja au siyo moja kwa moja ushawishi usiofaa au zawadi kwa ofisa yeyote wa umma, ndugu zake au watu wenye uhusiano wa kibiashara, kuhusiana na kotesheni hii au baadaye katika utekelezaji wa mkataba kama tutafanikiwa.
Tunayo Sera Dhidi ya Rushwa /Kanuni za Maadili na Programu ya ukubalifu inayojumuisha hatua zote muhimu na za kutosha kuhakikisha kuwa ahadi yetu ya kutotoa rushwa iliyotolewa katika maelezo haya itazingatiwa na menejimenti yetu na waajiriwa na pia watu wengine wote wanaofanya xxxx xxxx xxxxxx xxxxxx ya sekta ya umma au mkataba ikiwa ni pamoja na wakala, washauri, wabia wetu, wakandarasi wasaidizi na watoa huduma wetu. Nakala zetu za Sera Dhidi ya Xxxxxx /Kanuni za Maadili na Programu ya ukubalifu zimeambatishwa.
(Xxxx la mtu aliyepewa mamlaka) Sahihi
Tarehe
Muhuri/ Alama ya Kampuni