Makubaliano ya Kutoa Usaidizi wa Kodi ya Nyumba ya Mwezi fulani kwa
Makubaliano ya Kutoa Usaidizi wa Kodi ya Nyumba ya Mwezi fulani kwa
(Mpangaji), anayeishi Xxxx Xxxxxx
(Nyumba) alituma ombi la usaidizi wa kodi ya nyumba kupitia (Wakala).
Masharti
ya uidhinishaji wa usaidizi wa kodi ya nyumba ni kuwa mmiliki/meneja wa Nyumba hii anakubali
kutumia usaidizi wa kodi ya nyumba kwa miezi iliyoidhinishwa anayodaiwa, ikijumuisha kodi za
miezi ijayo.
Aliyeweka saini hapa chini, akiwa mmiliki/meneja wa Nyumba hii, anakubali kuwa usaidizi wa kodi ya nyumba wa kiasi cha
(Usaidizi wa Kodi ya Nyumba) uliotolewa na Wakala kwa niaba ya Usaidizi wa Jumla kwa $
Mpangaji utatumiwa kwa kodi na ada zinazodaiwa kisheria, za awali au zinazokuja, kwa miezi ifuatayo tu,
na kwa mpangilio wa kipaumbele ulioorodheshwa: (1) , 2020
(2) , 2020
(3) , 2020
Kwa kukubali kutenga sehemu yoyote au Usaidizi wote wa Kodi ya Nyumba kwa kodi zozote zinazoarajiwa, mmiliki/meneja haondoi haki ya kudai malimbikizo yoyote ya kodi ambayo Mpangaji amepata xxxxx Xxxxx 2020, wala mmiliki/meneja haondoi haki ya kumwondoa mpangaji kwa njia halali kwa kukiuka makubaliano ya kodi isipokuwa kukosa kulipa kodi.
Saini ya Mmiliki/Xxxxxx Xxxxxx