IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA. NAHUDUMAMATARAJIO1Kukagua vyama vya ushirika vya aina zote.siku 30 za kazi.2Kusimamia utekelezaji wa sera na sheria za vyama vya ushirika.Kila siku za kazi.3Kutoa ushauri katika uendeshaji wa vyama vya ushirika.Kila siku za kazi.4Kuhimiza uanzishaji wa taasisi za fedha za ushirika.Siku 1 ya mwezi5Kuhudhuria mikutano mikuu ya vyama vya ushirika na kutoa ufafanuzi wa kisheria na uendeshaji.Kila robo6Kusaidia kutoa maelekezo kwa jamii na taratibu za kuandikisha vyama vya ushirika.I kwa mwezi7Kusaidia kuandaa sheria ndogo ndogo za ushirika.Ndani ya 90 za kazi.8Kusimamia na kutoa elimu ya ushirika kwa wanachama, Halmashauri na watendaji wa vyama vya ushirika.Siku 14 ya kazi.9Kutoa tathmini ya vyama vya ushirika.Ndani ya siku 90 za kazi.11Kusimamia uchaguzi wa viongozi wa vyama vya ushirikaSiku 1 ya kazi ya uchaguzi.12Kuhimiza na kuvishawishi vikundi vya akina mama na vijana kuanzisha vyama vya ushirika.Kila robo13Kusaidia kutoa takwimu kwa ajili ya utafiti endelevu.Kila robo14Kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kuvielekeza vyama vya ushirika kupata fedha za ununuzi wa mazao na biashara zingine.Siku 1415Kutoa taarifa ya hali ya ushirika kwa viongozi wa juu kila inapohitajika.Kila robo16Kuweka kumbukumbu sahihi za vyama vya ushirika.Siku 1 ya kazi.17Kutoa mafunzo kwa wakulima kwa kufanya ziara ya mafunzo.Siku 2 za kazi.18Kudhibiti wadudu waharibifu wa mazao kwa kupulizia dawa.Siku 1 ya kazi kwa shamba moja.19Kukagua maghala ya chakula.Siku 1 ya kazi kwa kila ghala.20Kukagua usalama wa nyama Chakula.Kila siku ya kazi.21Kukusanya takwimu za kilimo.Siku 3 za kazi.