ashier 1ashier wa matumizi. 8Kunukuu “Check list” kwa malipo yote ambayo yameandikiwa hundi kwa kila mfuko• Muda dakika 5. Kwa “check list” moja ya mfuko.9Kupeleka “Check list” na malipo yake kwa Mweka hazina /Mkurugenzi Mtendaji kwa sahihi.• Muda dakika 1 mara baada ya mzunguko mmoja kukamilika.10Mishahara kufuata Payroll Iringa na kuzileta Njombe.• Muda wa siku 1.11Kuchambua mishahara kufanya usuluhisho wa mishahara na kupeleka kwa wakuu wa Idara kwa uhakiki wa watumishi kabla ya kufanya malipo.• Muda wa siku 1.mara baada ya TT na Payroll kufika12Kuandika hati za malipo za mishahara za kulipia pamoja na hati za malipo za kuhamisha fedha toka A/C No. 1, na 3 kwenda mifuko ya kulipia pamoja na kusainisha. Kwa wakuu wa Idarahusika.• Muda wa siku 1.mara baada ya Payroll kuhakikiwa na wakuu wa idara husika.13Kukagua/Kufanya ukaguzi wa awali kwa mishahara yote.• Muda dakika 60.mara baada ya Payroll kusainiwa na wakuu waidara na kuidhinishwa na Ofisa Mhasibu na Mtunza Hazina14Kuandika hundi zote za mishahara na kuhamisha fedha za mishahara.• Muda dakika 45.mara baada ya ukaguzi wa awali kufanyika.15Kuchambua Makato yote ya kisheria na kuandika hati za malipo kwa makato yote pamoja na kusainisha wakuu wa Idara husika. Na Mweka hazina kwa kuidhinisha hati hizo, Ikiwa ni pamoja na kuomba kibali cha kuhamisha makatohayo kwenda katika mifuko ya kulipia.• Muda siku 1.mara baada ya mihahara kulipwa/kukamilika16Kufanya ukaguzi wa awali kwa malipo yote yanayohusu makato ya mishahara.• Muda dakika 60. Mara baada ya kuidhinishwa na mamlaka husika.17Kuandika hundi zote za makato pamoja na “check list” za makato ya mishahara.• Muda dakika 45.Mara baada ya ukaguzi wa awali kukamilika18Kufanya marekebisho ya mishahara ya watumishi.• Muda dakika 5 kwa faili moja.19Kujaza fomu za malimbikizo ya mishahara kwa wote waliorekebishiwa mishahara baada ya kupanda cheo, Ajira mpya. N.k. Fomu hizi zitajazwa kwa waliotimiza vigezo tu. Ikiwa barua ya kupanda cheo, barua ya kukubali cheo, barua ya kuomba malimbikizo. “Salary slip” ya kabla na baada ya marekebisho.• Dakika 10 kwa kila faili moja lililokamilika.20Kupeleka Marekebisho malimbikizo na “data sheet” mbalimbali Hazina na Idara Kuu ya Utumishi.• Muda siku 3 hadi 4.mara baada ya Data Sheet kusainiwa na wahusika.
ashier wa matumizi. 8Kunukuu “Check list” kwa malipo yote ambayo yameandikiwa hundi kwa kila mfuko• Muda dakika 5. Kwa “check list” moja ya mfuko.9Kupeleka “Check list” na malipo yake kwa Mweka hazina /Mkurugenzi Mtendaji kwa sahihi.• Muda dakika 1 mara baada ya mzunguko mmoja kukamilika.10Mishahara kufuata Payroll Iringa na kuzileta Njombe.• Muda wa siku 1.11Kuchambua mishahara kufanya usuluhisho wa mishahara na kupeleka kwa wakuu wa Idara kwa uhakiki wa watumishi kabla ya kufanya malipo.• Muda wa siku 1.mara baada ya TT na Payroll kufika12Kuandika hati za malipo za mishahara za kulipia pamoja na hati za malipo za kuhamisha fedha toka A/C No. 1, na 3 kwenda mifuko ya kulipia pamoja na kusainisha. Kwa wakuu wa Idarahusika.• Muda wa siku 1.mara baada ya Payroll kuhakikiwa na wakuu wa idara husika.13Kukagua/Kufanya ukaguzi wa awali kwa mishahara yote.• Muda dakika 60.mara baada ya Payroll kusainiwa na wakuu waidara na kuidhinishwa na Ofisa Mhasibu na Mtunza Hazina14Kuandika hundi zote za mishahara na kuhamisha fedha za mishahara.• Muda dakika 45.mara baada ya ukaguzi wa awali kufanyika.15Kuchambua Makato yote ya kisheria na kuandika hati za malipo kwa makato yote pamoja na kusainisha wakuu wa Idara husika. Na Mweka hazina kwa kuidhinisha hati hizo, Ikiwa ni pamoja na kuomba kibali cha kuhamisha makatohayo kwenda katika mifuko ya kulipia.• Muda siku 1.mara baada ya mihahara kulipwa/kukamilika16Kufanya ukaguzi wa awali kwa malipo yote yanayohusu makato ya mishahara.• Muda dakika 60. Mara baada ya kuidhinishwa na mamlaka husika.17Kuandika hundi zote za makato pamoja na “check list” za makato ya mishahara.• Muda dakika 45.Mara baada ya ukaguzi wa awali kukamilika18Kufanya marekebisho ya mishahara ya watumishi.• Muda dakika 5 kwa faili moja.19Kujaza fomu za malimbikizo ya mishahara kwa wote waliorekebishiwa mishahara baada ya kupanda cheo, Ajira mpya. N.k. Fomu hizi zitajazwa kwa waliotimiza vigezo tu. Ikiwa barua ya kupanda cheo, barua ya kukubali cheo, barua ya kuomba malimbikizo. “Salary slip” ya kabla na baada ya marekebisho.• Dakika 10 kwa kila faili moja lililokamilika.20Kupeleka Marekebisho malimbikizo na “data sheet” mbalimbali Hazina na Idara Kuu ya Utumishi.• Muda siku 3 hadi 4.mara baada ya Data Sheet kusainiwa na wahusika.