IDARA YA MAJI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kupeleka huduma ya maji katika mitaa.Siku 360 za kazi2Kutoa mafunzo kwa jamii kuhusu kukusanya pesa na ukarabati katika miradi.Siku 2 za kazi.3Kutoa ushauri wa kiufundi kuhusu mradi baada ya kupata maombi.Siku1 ya kazi.4Kutayarisha taarifa za kila mwezi.Siku 14 za kazi.5Kupeleka mafundi katika miradi kunapotokea tatizo la kiufundi.Siku tatu za kazi.6Kuhamasisha jamii kuchangia pesa kabla mradi haujaanza.Siku 14 za kazi7Kuandaa bajeti za kitengo.Siku 90 za kazi.8Kutoa ushauri wa kiufundi kwa jamii kuhusu uvunaji wa maji.Siku 4 za kazi.9Kufanya usanifu wa miradi ya maji.Siku 30 za kazi.10Kufanya utafiti kuhusu maji chini ya ardhi.Siku 7 za ardhi.11Kuandaa nyaraka za zabuni kwa ajili ya kutekeleza miradi.Siku 7 za kazi.12Kusimamia miradi ya maji.Siku zote za kazi.13Kuelimisha jamii kuhusu sera za maji.Siku 14 za kazi.