IDARA YA MIFUGO NA UVUVI Sashin Shaidar

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI. NAHUDUMAMATARAJIO1kutoa ushauri kwa wakulimaSiku 1 ya kazi.2Kutoa ushauri kwa wafugaji.Siku 1 ya kazi.3Kutoa chanjo kwa mifugo.Siku 7 za kazi.4Kutoa matibabu kwa mifugo.Dakika 20 kwa mfugo.12Kuhamilisha.Dakika 10 kwa kila mnyama.13Kukagua ngozi za wanyama kama zina ubora.Siku 3 za kazi.14Kudhibiti kichaa cha mbwa kwa kufuatilia matukio na kuua mbwa vichaa na wazururaji.Siku 1 ya kazi.7Kutoa elimu ya matumizi ya zana sahihi za uvuvi.Siku 14 za kazi kila elimu inapotolewa.15Kuthibiti wanyama waharibifu wa mazao.Siku 7 za kazi.8Kutoa leseni za uvuvi.Siku 1 ya kazi.9Kuhamasisha wavuvi washiriki maonyesho ya nanenane.Siku 1 ya kazi.10Kusimamia sera za uvuvi na utekelezaji wake kwa kuwafuatilia wavuvi.Siku 14 za kazi.16Doria ya maliasili katika misitu na uvuvi.Siku 48 kila mwaka.