IDARA YA UJENZI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kusimamia miradi ya Halmashauri.Kila siku hadi mradi unapoisha.2Kutoa vibali vya ujenzi.Ndani ya siku 60 za kazi.3Kufanya ukaguzi wa ujenzi.Siku 1 ya kazi.4Kukagua hali za barabara za Halmashauri.Kila siku za kazi.5Kufanya matengenezo madogo madogo ya barabara.Kila barabara zinapoharibika6Kufanya upembuzi yakinifu wa barabara na kuandaa michoro na kufanya makadirio.Siku 21 za kazi.7Kupeleka nyaraka za upembuzi Kitengo cha Manunuzi kwa ajili ya kutangaza zabuni.Siku 1 ya kazi.8Kukabidhi mkataba wa kutengeneza barabara kwa mkandarasi.Siku 1 ya kazi.9Ukaguzi wa barabara inayojengwa na mkandarasi.Kila siku ya kazi.