KITENGO CHA MAENDELEO YA ARDHI Sashin Shaidar

KITENGO CHA MAENDELEO YA ARDHI. NAHUDUMAMATARAJIO1Kuandaa hati miliki.Siku 4 za kazi.2Kutoa vibali vya uhamisho wa milki na miamala yaNdani ya siku 14 za kazi. benki. 3Kutoa mapendekezo ya ufutaji milki kwa waliovunja masharti.Siku 1 ya kazi.4Kutoa ushauri kwa wateja kuhusu sheria za ardhi kwa wadau.Dakika 30 za kazi.5Kuandaa hati za usalimisho wa miliki za ardhi.Siku 1 za kazi.6Kutuma ilani kwa wamiliki wanaoendeleza maeneo kinyume na maelekezo na masharti ya hati.Siku 1 ya kazi.7Kusimamamia makusanyo ya maduhuli pamoja na kutuma ilani za madai.Kila siku ya kazi.8Kuwasilisha hati miliki Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya na kusajiliwaSiku 1 ya kazi.9Kutoa ushahidi mahakamani katika kesi za ardhi.Siku 1 ya kesi.10Kufanya maandalizi ya hati miliki ya hatua za awali kwa kufungua faili, kuidhinisha malipo na kuomba ramani za hati.Siku 2 za kazi.11Kutengeneza rasimu ya hati baada ya ramani za hati kuletwa kutoka kwa mpima ardhi.Siku 3 za kazi.12Kutoa ushauri wa migogoro ya ardhi na kuwaelekeza wahusika mahakama ambazo zinastahili kusimamia migogoro hio.Siku 1 ya kazi.