KITENGO CHA SHERIA. NAHUDUMAMATARAJIO1Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhusu mambo ya kisheria.Kila siku za kazi.2Kushughulikia kesi mahakamani za kushtaki au kushtakiwa Halmashauri..Kila siku za kazi kesi inapotajwa mahakamani.3Kusaini fomu za dhamana.Dakika 3.4Kutunga rasimu za sheria ndogo ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Siku 60 za kazi.6Kuatayarisha mikataba ya Halmashauri.Siku 7 kwa kila mkataba.7Kufuatilia utekelezaji wa sheria ndogo ndogo na kuandika taarifa.Siku 2 za kazi.8Kuandaa bajeti ya mabaraza ya kata.Siku 7 za kazi.9Kuwafundisha wajumbe wa mabaraza ya kata juu ya kanuni na taratibu uendeshaji wa mabaraza.Siku 2 za kazi mara baada ya uchaguzi.10Kumshauri Mkurugenzi na watendaji wake mambo ya kisheria katika vikao vya uongozi.Kila siku ya vikao.11Kutayarisha bajeti ya kitengo.Siku 7 za kazi.12Operesheni ya kukagua usafi kwa kushirikiana na maafisa wa afya.Siku 30 za kazi.