KITENGO CHA TEHAMA. 1Kukagua vifaa vyote vya TEHAMASiku 7 za Kazi2Kufanya matengenezo ya vifaa vya TEHAMASiku 1 ya kazi3Kusimamia mifumo yote ya TEHAMASiku 7 za kazi.4Kuhuwisha TovutiSiku 7 za kazi5Kuratibu vyombo vya habariSiku 1 za kazi.8.0 WAJIBU WA HALMASHAURI KWA MTEJAHalmashauri itakuwa na wajibu ufuatao kwa kila mteja wake:• Kutumia kwa makini rasilimali za umma.• Kurekebisha mapungufu katika huduma zetu yanapojitokeza.• Kuwa wazi na kutoa taarifa zote kwa lugha nyepesi.• Kuwasaidia wateja wanaotumia huduma zetu na kutoa taarifa kamili kuhusu huduma, gharama zake na ubora utakaotolewa.• Kukuza upatikanaji wa huduma zetu mara kwa mara kwa kuendeleza ubunifu, uvumbuzi na kuimarisha maarifa na stadi.• Kuboresha huduma zetu kwa kutoa huduma kwa moyo na kukamilisha majukumu kwa wakati.• Kuwatendea haki wateja wote kwa kuwahudumia kwa umakini ikiwa ni pamoja na makundi maalum ya wazee, wagonjwa, walemavu na watoto. 9.0 HAKI NA WAJIBU WA MTEJA9.1 Haki za watejaWateja wa Halmashauri watakuwa na haki zifuatazo;ii. Kuhudumiwa saa za kazi.iii. Kupewa ushauri na watumishi wa Halmashauri.iv. Kudai huduma wanazostahili.v. Kupata huduma wakati muafaka.vi. Kutoa malalamiko yenye ushahidi endapo kuna tatizo.vii. Kupatiwa huduma bila ya kutoa rushwa au fadhila yoyote.viii. Faragha na kuhifadhiwa siri.ix. Kutoa maoni yao. 9.2 Wajibu wa wateja