SEHEMU YA HAKI ZA WATOTO Sashin Shaidar

SEHEMU YA HAKI ZA WATOTO. NAHUDUMAMATARAJIO.1Kuwatambua watoto wa mitaani katika manispaa na kuwafanyia uchunguzi.Siku 30 za kazi.2Kukusanya na kutayarisha taarifa za watoto.Sik 30 za kazi.3Kuwasiliana na ndugu za watoto na asasi kwa ajili ya kuwaunganisha na familia zao.Siku 30 za kazi.4Kufuatilia malezi ya watoto wa mitaani waliounganishwa na familia na ndugu zao.Siku zote za kazi.5Kuwachukulia hatua watu wanaonyanyasa na kutumikisha watoto.Siku 1 ya kazi.6Kuhakikisha taratibu na kanuni za watoto walioshtakiwa mahakamani zinafuatwaKila kunapokuwa na kesi mahakamani.7Kutayarisha na kuwasilisha taarifa za watoto walioshtakiwa mahakamani kwa Mkurugenzi wa Halmashauri (W)Siku 30 za kazi.8Kuhakikisha watoto waliohukumiwa kwenda shule za maadilisho wanapelekwa.Siku 30 za kazi.