SEHEMU YA KUFUNGA HESABU Sashin Shaidar

SEHEMU YA KUFUNGA HESABU. NAHUDUMA ZINAZOHUSIKAMUDA1Uandaaji wa taarifa mbalimbali za fedha kila mwezi na robo mwaka.• Muda siku 3 hadi 5 mara baada ya kufunga hesabu za mwezi..2Uandaaji wa Usuluhisho wa kibenki.• Muda wa siku 3 baada ya kupokea taarifa za kibenki.3Kuandaa “General Ledger” kila mwezi kwa kila mfuko.• Muda siku 2 baada ya mwezi kuisha.4Kuandaa “Trial Balance” kila mwezi kwa kila• Muda siku 2 baada ya mwezi mfuko.kuisha.5Kuandaa “Income Statements” na “Balance Sheet” kila mwezi na kila mfuko.• Muda siku 3.6Kuandaa “Quarterly Consolidated”, “Trial “Balance”, “Income Statements”, na “Balance Sheet”.• Muda siku 5.7Kuandika “Fixed Assets” “Register”.• Muda dakika 5 kwa kila mwamala.8Kuandaa “Recurrent Budget’ na kuiwasilisha sehemu husika.• Muda wa miezi 4(Januari - April).9Kuandaa/Kufunga hesabu za mwisho wa mwaka. Kwa Idara zote za Halmashauri kuanzia mwezi Julai hadi Septemba. Pamoja na kuiwasilisha kwawadau husika.• Miezi 3.10Kuandaa taarifa zarobo mwaka na kuzituma kwa RAS, TAMISEMI na kuwasilisha katika vikao vya kisheria.• Siku tano (5).11Kuandaa “Budget Statements” kila mwezi na kila mfuko..• Siku tano (5).12Kujaza Rejista ya Masurufu kwa wanaochukua na kurejesha masurufu kwa kila mfuko.• Dakika 3 kwa kila muamala.13Kuandaa “Imprest/ Advance” “Position Monthly” kwa kila mfuko.• Siku 5.14Kuandaa taarifa za fedha kwa ajili ya LAAC.• Kila baada ya miezi 3.