SEHEMU YA MATUMIZI Sashin Shaidar

SEHEMU YA MATUMIZI. NAHUDUMA ZINAZOTOLEWAMUDA1Kusimamia Mtiririko mzima wa malipo kwa kuzingatia uharaka, usahihi kwa kufuata taratibu, Kanuni na sheria za fedha.• Kila Siku kuanzia saa 1.30 Asubuhi mpaka saa 9.30 alasiri.2Pre audit itafanyika kwa kila hati ya malipo iliyokamili. Ikiwa ni kuwepo kwa sahihi zote. Kuanzia muandaaji wa malipo, mkuu wa Idara na Mweka hazina. Pia kuwepo kwa viambatanishi vyote vyenye ruksa ya Mkurugenzi Mfano:- barua, LPO, Requisition, Quotations, Delivery note, Invoice, fomu ya maombi, No. 1,2,3, Muhtasari wa kikao, na mikataba kamaitalazimika.• Dakika 3 mpaka 5 kwa kila hati moja ya malipo.3“Vote - book” kila mhasibu wa Idara /Mfuko atajaza “vote book”. Kwa kuzingatia sheria kanuni na taratibu za fedha. Malipo yatakayoingizwa katika “vote book” ni yale tu yaliyo ndani ya bajeti iliyokisiwa.• Dakika 3 mpaka 5 kwa kila ombi 1 lililofika mezani kwa mhasibu wa mfuko.4Uandishi wa hati za malipo utafanyika kwa maombi yote ambayo hayajazidi bajeti, na yamekamilika kwa kibali cha Afisa Mhasibu (Mkurugenzi Mtendaji). Na kwa madai yoteyaliyozingatia sheria na kanuni za fedha.• Dakika 3 kwa kila hati moja ya malipo baada ya kuhakiki viambatanishi.5“Check Room” - hundi zote zitakazo weza kuandikwa nizile tu ambazo madai yake yamefuata sheria na taratibu za fedha.• Muda dakika 2 kwa kila hati moja ya malipo baada ya kuhakikiwa.6Utoaji wa hundi kwa wateja - hundi zote zinazotolewa zitasajiliwa katika rejista na mteja atasaini ndipo ataweza kuchukua.• Muda dakika 3 kwa kila hundi baada ya kuisajili.7Malipo ya fedha taslimu kwa watumishi wanaozidi mtu mmoja katika madai yatalipwa na• Muda dakika 2 mara baada ya fedha hizo kufika kutoka benki.