Services Agreements Sample Contracts

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ARUSHA REGIONAL SECRETARIAT ARUSHA DISTRICT COUNCIL
Service Agreement • June 29th, 2024

VIFUPISHO ALU Agizo la Ununuzi LDZ Lohodata ya Zabuni MJM Masharti ya Jumla ya Mkataba MMM Masharti Maalum ya Mkataba MZ Mwaliko wa Zabuni NSZ Nyaraka Sanifu za Mwaliko wa Zabuni NeST Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi kwa njia ya Mtandao PPA Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410 TIN Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi TJU Tangazo la Jumla la Ununuzi TN Taasisi Nunuzi UZM Ushindani wa Zabuni Kimataifa UZT Ushindani wa Zabuni Kitaifa VAT Kodi ya Ongezeko la Thamani

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ARUSHA REGIONAL SECRETARIAT ARUSHA DISTRICT COUNCIL
Service Agreement • December 18th, 2024

VIFUPISHO ALU Agizo la Ununuzi LDZ Lohodata ya Zabuni MJM Masharti ya Jumla ya Mkataba MMM Masharti Maalum ya Mkataba MZ Mwaliko wa Zabuni NSZ Nyaraka Sanifu za Mwaliko wa Zabuni NeST Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi kwa njia ya Mtandao PPA Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410 TIN Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi TJU Tangazo la Jumla la Ununuzi TN Taasisi Nunuzi UZM Ushindani wa Zabuni Kimataifa UZT Ushindani wa Zabuni Kitaifa VAT Kodi ya Ongezeko la Thamani

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Service Agreement • February 12th, 2019

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe imeandaa Mkataba wa Huduma kwa Mteja kwa kushirikisha wadau mbalimbali. Mkataba wa Huduma kwa Mteja ni kiungo kati ya utendaji wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji na wateja wanaopata huduma kutoka katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji katika kutekeleza majukumu yake, Majukumu ya Ofisi hii nikuwezesha wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe kutekeleza shughuli za Kiuchumi, kijamii na maendeleo katika mazingira bora. Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wanatarajia kupata huduma zenye viwango vya hali ya juu kutoka Serikalini.