TANGAZO
TANGAZO
UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MAKUBALIANO BINAFSI (PRIVATE AGREEMENT) KATIKA XXXXXX XX XXXX MTIBWA, MOROGORO NA LONGUZA, MUHEZA TANGA
Tarehe: 12/10/2016
1. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya Misaji yenye jumla ya meta za ujazo 8,860.74 iliyopo mashamba ya miti ya Mtibwa na Longuza yaliyopo mikoa ya Morogoro na Tanga mtawalia. Mauzo haya yatafanyika Oktoba 27, 2016 katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya BUSTANI kilichopo katika makutano ya Mtaa wa Xxxxxxx Xxxxxx/Xxxxxx Avenue mjini Dar es Salaam saa nne na nusu (4:30) asubuhi. Uuzaji xxx utafanyika kwa njia ya makubaliano binafsi (private agreement) kwa kuzingatia kanuni 31 (iii) ya kanuni za xxxxxx ya misitu za mwaka 2004. Miti hii ya misaji itauzwa mahali ilipo na jinsi ilivyo na mnunuzi hatakuwa na haki ya kudai fidia baada ya mauzo.
2. Kampuni au mtu binafsi anayetaka kushiriki mauzo kwa njia ya makubaliano binafsi anatakiwa kuwasilisha maombi kwenye bahasha iliyofungwa kuonesha nia ya kushiriki mauzo kwa njia ya makubaliano binafsi akiambatisha leseni ya biashara, Usajili wa xxxxxxx xxx kuchakata magogo (2016/17), usajili wa biashara ya mazao ya Misitu (2016/2017) na cheti cha utambulisho wa mlipa kodi (TIN). Xxxxx, anatakiwa aoneshe xxxx xx xxxxxx, xxxx la kiunga, namba ya kitalu/vitalu na ujazo anaotarajia kununua kama ilivyo kwenye majedwali namba 1 na 2 hapo chini,
3. Baada ya kuwasilisha maombi hayo mnunuzi ataitwa kwenye majadiliano (negotiation) na Wakala wa Huduma za misitu Tanzania. Maafikiano yakifikiwa, mnunuzi ataelekezwa kufanya malipo kama inavyooneshwa katika kipengele Na. 9. Baada ya malipo hayo mnunuzi ataingia mkataba wa kisheria wa manunuzi ya miti ya misaji xxxx xxxx na TFS.
4. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania unawaalika wanunuzi kutuma maombi yao kwa ajili ya kufanya majadiliano ya kununua miti ya misaji kwa njia ya makubaliano binafsi ambapo mnunuzi anaweza kuchagua viunga vifuatavyo;
JEDWALI Na. 1: KIUNGA XXXXX XX 2B XXXXXX XX XXXX LONGUZA
Na. | Xxxx la Kitalu | Ujazo kwa kitalu (m3) | Bei ya awali/kitalu/m3 |
1 | KH 2B-PA01 | 302.450 | 750,000 |
2 | KH 2B-PA02 | 350.390 | 750,000 |
3 | KH 2B-PA03 | 401.530 | 750,000 |
4 | KH 2B-PA04 | 403.620 | 750,000 |
5 | KH 2B-PA05 | 354.100 | 750,000 |
6 | KH 2B-PA06 | 401.404 | 750,000 |
7 | KH 2B-PA07 | 200.815 | 750,000 |
8 | KH 2B-PA08 | 452.352 | 750,000 |
9 | KH 2B-PA09 | 300.614 | 750,000 |
10 | KH 2B-PAG01 | 234.600 | 900,000 |
11 | KH 2B-PAG02 | 274.109 | 900,000 |
12 | KH 2B-PAG03 | 275.998 | 900,000 |
13 | KH 2B-PAG04 | 314.791 | 900,000 |
14 | KH 2B-PAG05 | 263.833 | 900,000 |
15 | KH 2B-PAG06 | 329.857 | 900,000 |
Jumla ya ujazo | 4,860.463 |
JEDWALI Na. 2: KIUNGA NAMBA MT 11 XXXXXX XX XXXX MTIBWA
Na. | Xxxx la kitalu | Ujazo wa kitalu (m3) | Bei ya awali/kitalu/m3 |
1 | MT 11-C1 | 1,000.04 | 700,000 |
2 | MT 11- C2 | 300.02 | 700,000 |
3 | MT 11- C3 | 500.02 | 700,000 |
4 | MT 11- C4 | 400.04 | 700,000 |
5 | MT 11- C5 | 500.04 | 700,000 |
6 | MT 11- C6 | 500.03 | 700,000 |
7 | MT 11- C7 | 400.04 | 700,000 |
8 | MT 11- C8 | 400.05 | 700,000 |
TOTAL VOLUME | 4,000.28 |
5. Mnunuzi atakayefanikiwa kununua miti ya misaji hataruhusiwa kusafiirisha magogo nje ya nchi kwa mujibu wa kanuni ya 50(1) ya mwaka 2004. Kusafirisha Mazao ya Misitu nje ya nchi ni baada ya kuyachakata kwa Mujibu wa Tangazo la Serikali Na 69 la mwaka 2006.
6. Makampuni na watu binafsi wanakaribishwa kutembelea viunga shambani wakati wa saa za kazi kuanzia saa xxxx (3:00) asubuhi hadi saa xxxx (9:00) alasiri isipokuwa siku za sikukuu. Meneja wa shamba au msaidizi wake atakuwepo kwa ajili ya maelekezo xxxxx.
7. Wanunuzi wanapaswa kuchukua na kusoma masharti ya uvunaji kwa kila shamba. Masharti hayo yanapatikana ofisi za shamba husika.
8. Bei ya kianzio kwa mita moja ya ujazo imeoneshwa katika Jedwali namba 1 na 2 hapo juu ikijumuisha ‘VAT’, ‘CESS’ na ‘LMDA’.
9. Mnunuzi atakayeshinda atatakiwa kulipa asilimia ishirini na tano (25%) ya thamani yote ya mazao ya misitu aliyonunua siku xxxx (3) baada ya makubaliano kufanyika. Fedha hizo hazitarudishwa iwapo mnunuzi ataghairi. Asilimia sabini na tano (75%) iliyobaki italipwa ndani ya miezi miwili baada ya kusaini mkataba wa mauziano na Wakala. Malipo yatafanyika katika Akaunti ya xxxxxx xx Xxxx husika kama inavoonekana hapa chini;
i. XXXXXX XX XXXX MTIBWA, ii. XXXXXX XX XXXX LONGUZA, AKAUNTI NA. 22010000567 AKAUNTI NA. 41901000015
NMB – TURIANI NMB – MUHEZA
10. Mnunuzi atapaswa kuwasilisha hati ya malipo (pay – in – slip) ya benki kwa meneja wa shamba kama uthibitisho wa malipo si xxxxx ya siku xxxx (3) baada ya malipo kufanyika.
11. Mteja atatakiwa kuondoa mazao ya misitu aliyonunua ndani ya miezi miwili baada ya kumaliza kulipa malipo yote kwa asilimia 100.
12. Tangazo hili pia linapatikana katika tovoti zifuatazo za Wakala na Wizara: xxx.xxx.xx.xx, na xxx.xxxx.xx.xx
13. Maombi yote yawasilishwe siku ya mauzo kabla ya saa 4:00 asubuhi. wanunuzi watakaochelewa kuwasilisha maombi yao kwa siku na muda uliopangwa hawataruhusiwa kushiriki katika majadiliano ya mauzo.
limetolewa na