Hati ya Mkataba. Utaratibu wa kuandaa taarifa ya tathmini ya utendaji kazi utatekelezwa kwa kutumia Fomu TFN.832 iliyoambatanishwa na Waraka huu. Fomu hiyo ndiyo itakayokuwa hati ya mkataba wa utendaji kazi (Performance Contract) kati ya mwajiri na mwajiriwa.