KATA. NAHUDUMAMATARAJIO1Mtendaji wa Kata kusikiliza kero na malalamiko na kuyatatua.Siku 1 ya kazi.2Kusimamia utekelezaji wa miradi ya mendeleo katika kataKila siku za kazi.3Kusimammia na kukagua usafi wa mazingira katika kata.Siku 1 ya kazi katika kila kata.4Kuhamasisha ulinzi na usalama kwa kufanya mikutano.Siku 1 ya kazi kila kunapofanyika Kikao chaKamati ya Maendeleo ya Kata.5Kuhakikisha watendaji wa mitaa wanasimamia ulinzi na usalama katika mitaa yao.Siku 1 ya kazi kila baada ya miezi miwili.6Kusimamia chaguzi za serikali za mitaa na serikali kuu. (Aro-kata)Kipindi chote cha uchaguzi.7Kusimamia uandikishwaji wa wapiga kura. (Aro-kata)Kipindi chote cha uandikishwaji wa wapiga kura.8Kufuatilia utoaji wa huduma za jamii katika kata.Siku 1 ya kazi kwa kila sekta.