WATEJA WA HALMASHAURI NA MATARAJIO YAO Sashin Shaidar

WATEJA WA HALMASHAURI NA MATARAJIO YAO. MAJINA YA WATEJA/WADAUMATARAJIO KUTOKA HALMASHAURIWatumishi wa Halmashauri⮚ Utawala bora⮚ Amani na Utulivu⮚ Usalama kazini⮚ Mazingira bora na mazuri ya kazi⮚ Fursa za kuiendeleza⮚ Kupata mshahara na maslahi mengine kwa wakati⮚ Kupata mafao ya kustaafu kwa wakati⮚ Usawa kwa wote na uongozi mzuri uliotukuka⮚ Kuendelezwa kitaaluma⮚ Miundo sawa ya kazini inayohamasisha⮚ Mfumo mzuri wa kudhibiti nidhamu kazini⮚ Mwongozo wa wazi na wa kiushindani wa uajiri, uteuzi na upandishaji vyeo⮚ Mfumo ulio wazi wa utathmini wa utendaji kazi Kuwazawadia wanaovuka malengoOR – TAMISEMI, Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali⮚ Utoaji wa tafsiri sahihi za sera, sheria na mikakati mbalimbali pamoja na kuratibu LGAs⮚ Ufuatiliaji wa makini wa sera za kitaifa⮚ Uratibu wa utoaji taarifa za huduma zianazotolewa na Halmashauri kwa wizara mbalimbali⮚ Kuwa kiungo kati ya wizara za kisekta na halmashauriVyama vya Siasa⮚ Tafsiri ya sera mbalimbali⮚ Utekelezaji wa ilani ya uchaguzi⮚ Utawala bora⮚ Utekelezaji wa kazi za serikali⮚ Kushirikishwa;⮚ Takwimu sahihi;⮚ Uwazi;⮚ Haki sawa kwa wote;⮚ Kuzingatia maoni ya wananchi; na⮚ Kufanikisha mipango ya serikaliMadhehebu, Vikundi na Taasisi za Dini, Sekta Binafsi, Asasi zisizo za Kiserikali, Vyombo vya Habari, Washirika na Wahisani katika Maendeleo⮚ Ushauri wa kitaalam⮚ Uhusisiano wa karibu wa kuwajali⮚ Kulipwa kwa wakati mara naada ya kutoa huduma⮚ Ufanisi, Uadilifu, nidhamu ya watumishiMAJINA YA WATEJA/WADAUMATARAJIO KUTOKA HALMASHAURI ⮚ Kutoa wataalam⮚ Matumizi mazuri ya fadha⮚ Kuratibu miradi inayopatiwa fedha⮚ Taarifa sahihi na kwa wakati⮚Wananchi kwa Ujumla wao⮚ Kushughulikia mahitaji na Majibu ya kero na matatizo kwa wakati⮚ Kufahamu sera na malengo ya serikali⮚ Uwekaji wa mazingira mazuri ya kuibua fursa za kiuchumiVyombo vya habari⮚ Ushirikiano⮚ Habari sahihi;⮚ Uwazi; ………………………….. ………………………….HAMISI A. ABDALLAH MUSSA L. GAMA MWENYEKITI MKURUGENZI MTENDAJIHALMASHAURI YA WILAYA KISARAWEVIWANGO VYA HUDUMA1. IDARA YA UTAWALA NA UTUMISHINAHUDUMAMATARAJIO1Kutoa miongozo ya utendaji wa kazi na kuisambaza kwa watumishi.Tutatoa miongozo ya utendaji wa kazi ndani ya siku moja ya kazi.2Kupandisha vyeo vya watumishi na kuthibitisha kazini watumishiTutafanya mchakato wa kupandisha vyeo watumishi ndani ya siku 30 za kazi3Kushughulikia Uhamisho wa watumishi kwenda nje na kuingia Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.Tutapitisha maombi ya uhamisho ndani ya siku moja tangu kuwasilishwa kwa maombi4Kusikiliza matatizo ya watumishi na shida zao.Tutas...