KITENGO CHA MALALAMIKONAHUDUMAMATARAJIO Sashin Shaidar

KITENGO CHA MALALAMIKONAHUDUMAMATARAJIO. 1Kupokea na kusikiliza kero na malalamiko ya wananchi na watumishi na kuyaandikishaSiku 1 ya Wiki2Kuingiza na kuhifadhi taarifa za malalamiko kwa kutumia technologia ya mawasiliano na kutumia taarifa za mawasiliano kuonesha maeneo ya kufanyia kazi.Siku 1 za kazi kero ndogo ndogo na siku 30 kwa kero kubwa.3Kufanya uchambuzi wa awali wa malalamikoSiku 2 ya kazi.4Kuwasilisha malalamiko kwenye idara au kitengo kwajili ya kupatiwa ufumbuziDakika 1 za kazi.5Kuandaa na kuwasilisha taarifa za utekelezaji kazi za idara za robo, nusu na mwaka mzima.Siku 7 ya kazi.6Kushughulika malalamiko ya wananchi kuhusu kutokuwepo na huduma za jamii kwa kuwaelimishaSiku 5 ya kazi katika kata 11.7Kutoa ushauri kwa watejaKila siku ya kazi.8Kufungua masanduku ya maoni na kuyachambua na kuyatafutia ufumbuzi.Siku 3 za kazi.9Kuwasilisha taarifa ya kero na malalamiko kwa mkurugenzi mtendaji na taasisi ya kuzuia rushwaSiku 5 za kazi.10Kufuatilia Malalamiko yanayoshughulikiwa na idara au kitengo