Watendaji Wakuu (Chief Executives Sashin Shaidar

Watendaji Wakuu (Chief Executives. • Katibu Mkuu wa Wizara atasaini mkataba na Waziri wa Wizara husika baada ya kushauriana na Katibu Mkuu Kiongozi. • Mkuu wa Idara Inayojitegemea atasaini mkataba na Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kushauriana na Katibu Mkuu wa Wizara yenye dhamana na Idara husika.• Katibu Tawala wa Mkoa atasaini mkataba na Mkuu wa Mkoa baada ya kushauriana na Katibu Mkuu anayehusika na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. • Mkurugenzi wa Uhamiaji na Kamishna wa Zimamoto na Huduma za Uokoaji watasaini mikataba na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, Miji, Manispaa na Jiji atasaini mkataba na Mwenyekiti au Meya wa Halmashauri husika.