MATUMIZI YA JIKO NA USAFI Mienzaniso yeMagwaro

MATUMIZI YA JIKO NA USAFI. CHAGUA MOJA) ⬜ Gharama za chakula zitagawanywa sawa kwa wapangaji wenzangu.Chakula kitanunuliwa na kila mtu peke yake. Hutaweza kukopa chakula bila ruhusa ya aliyenunua. Kila mpangaji atakuwa na sehemu ya peke yake ya kuweka vyakula. Mangaji mwenzangu anaweza kuamua kutayarisha chakula kwa pamoja na kufanya usafi. Kila mpangaji mwenzangu atafanya usafi wa jiko baada ya kutumia.