Karatasi ya makubaliano na mpangaji mwenzangu
Karatasi ya makubaliano na mpangaji mwenzangu
Ni xxxxxx zipi katika nyumba yako?
Katika tarehe hii June 1, 2023 (tarehe ya xxx), haya makubaliano ya mkataba na mpangaji mwenzangu ulitengenezwa na wapangaji walioorodheshwa hapo chini, kwa ajili ya makazi yaliyoko katika anwani hii: 2023 xxxxx st., Lansing, MI 48906_ (Anwani ya makazi). Tunaingia kwenye mkataba xxx ili kuweza kujua haki haki na majukumu ya kila mpangaji wakati wa matatizo ya
makubaliano ya upangaji. Makubaliano haya yataazia muda wote ulioonyeshwa
kwenye mkataba xxx ambao ni :
June 1, 2023
(tarehe ya
xxxxx), mpaka June 1, 2024 (tarehe ya mwisho).
Majina ya wapangi wenzangu | Sahihi za wapangaji wenzangu |
Xxx Xxxxxxxxx | |
Xxx Xx Xxxx | |
Xxxxxxx Xxxxxxx | |
1. PESA YA TAHADHALI: Jumla ya pesa ya tahadhali ambayo tumelipa kwa mwenye nyumba kwa ajili ya makazi ni $_650_(JUMLA YA PESA YA TAHADHALI), ambayo tumelipa kwa Xxxx xxxxx (XXXX XX XXXXXX NYUMBA AU MPANGAJI MWENZANGU) tarehe June 1, 2023 (TAREHE). Kila mtu amelipa sehemu ya pesa ya dharula kama ifuatavyo:
Xxxx la Mpangaji | Pesa ya dharula aliyolipa |
Xxx Xxxxxxxxx | $ 450 |
Ali Al Noor | $ 200 |
Xxxxxxx Xxxxxxx | $ 0 |
$ |
Kila mpangaji atapokea sehemu xxxx ya pesa ya dharula kama mwenye nyumba atarudisha baada ya mkataba wa pango kuisha. Makato yote kutoka kwenye pesa ya dharula itakatwa na mwenye nyumba kutoka kwa wapangaji wote kidogo kidogo kutoka kwenye pesa ya dharula waliyolipa. Ingawa kama kuna uharibifu umefanywa na mmojawapo ya mpangaji au wapangaji watatakiwa kulipia wale tu walio sababisha huo uharibifu.
2. PANGO: Katika mkataba wa pango, jumla ya pesa ya pango itakayolipwa kila mwezi kwa mwenye nyumba ni $ 650_ (JUMLA YA PESA YA PANGO YA KILA MWEZI). Kila mpangaji atalipa kiasi cha fedha kama ifuatavyo:
Xxxx la mpangaji | Kiasi cha pesa ya pango cha kila mwezi kitakacholipwa |
Xxx Xxxxxxxxx | $ 250 |
Ali Al Noor | $ 200 |
Xxxxxxx Xxxxxxx | $ 200 |
$ |
⬜
Pesa ya pango italipwa kama Pesa taslimu
Cheki
Xxxxxxx’x heki
⬜
(CHAGU MOJAWAPO) kwa_Bal Khatiwada_( Mwenye nyumba au xxxx la mpangaji mwenzetu). Tarehe ya mwisho ya kulipia pango ni _5th_(KILA MWEZI) Kila mwezi na inatakiwa kufikishwa siku hiyo au kabla ya tarehe hiyo kwa Xxx Xxxxxxxxx (XXXX LA MPANGAJI MWENZANGU).
3. MATUMIZI YA JIKO NA USAFI : (CHAGUA MOJA)
⬜ Gharama za chakula zitagawanywa sawa kwa wapangaji wenzangu.
Chakula kitanunuliwa na kila mtu peke xxxx.
Hutaweza kukopa chakula bila ruhusa ya aliyenunua. Kila mpangaji atakuwa na sehemu ya peke xxxx ya kuweka vyakula. Mangaji mwenzangu anaweza kuamua kutayarisha chakula kwa pamoja na kufanya usafi. Kila mpangaji mwenzangu atafanya usafi wa jiko baada ya kutumia.
4. XXXX XXXX, XXXXX, GESI XX XXXX TAKA
Huduma zifuatazo zitapangwa na kulipwa kama ifuatavyo:
Item | Italkuwa kwa xxxx la | Malipo ya kila mwezi | Namna ya kulipa | Jinsi gani watalipia | Xxxx la mpangaji atakaekuwa na kazi ya kwenda kulipa |
Gesi | - | ||||
Xxxx | Xxx | $ 150 | Autopay - tare 5 ya kila mwezi | Itagawanywa sawa | Prosper |
Umeme | Bal | $ 50 | Autopay - Tarehe 25 ya mwishio wa mwezi | Itagawanywa sawa | Bal |
Taka | Bal | - | cheki- mwisho wa mwezi | Itagawanywa sawa | Bal |
TV | Ali | $ 75 | Autopay - tarehe 5 ya kila mwezi | Ali pekee | Ali |
Simu | - | ||||
Xxxxxxx | Xxx | - | Autopay - tare 5 ya kila mwezi | Itagawanywa sawa | Ali |
Other | - |