PANGO: Katika mkataba wa pango, jumla ya pesa ya pango itakayolipwa kila mwezi kwa mwenye nyumba ni Mienzaniso yeMagwaro

PANGO: Katika mkataba wa pango, jumla ya pesa ya pango itakayolipwa kila mwezi kwa mwenye nyumba ni. 650_ (JUMLA YA PESA YA PANGO YA KILA MWEZI). Kila mpangaji atalipa kiasi cha fedha kama ifuatavyo: Jina la mpangajiKiasi cha pesa ya pango cha kila mwezi kitakacholipwaBal Khatiwada$ 250Ali Al Noor$ 200Prosper Ngimana$ 200 $ ⬜Pesa ya pango italipwa kama Pesa taslimuChekiCashier’s heki⬜(CHAGU MOJAWAPO) kwa_Bal Khatiwada_( Mwenye nyumba au jina la mpangaji mwenzetu). Tarehe ya mwisho ya kulipia pango ni _5th_(KILA MWEZI) Kila mwezi na inatakiwa kufikishwa siku hiyo au kabla ya tarehe hiyo kwa Bal Khatiwada (JINA LA MPANGAJI MWENZANGU).