Karatasi ya makubaliano na mpangaji mwenzanguRental Agreement • January 21st, 2023
Contract Type FiledJanuary 21st, 2023Katika tarehe hii June 1, 2023 (tarehe ya leo), haya makubaliano ya mkataba na mpangaji mwenzangu ulitengenezwa na wapangaji walioorodheshwa hapo chini, kwa ajili ya makazi yaliyoko katika anwani hii: 2023 smith st., Lansing, MI 48906_ (Anwani ya makazi). Tunaingia kwenye mkataba huu ili kuweza kujua haki haki na majukumu ya kila mpangaji wakati wa matatizo ya